Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Habari zenu wanaJF!
Nimekua mara kwa mara nashuhudia watu wakitumia mafuta ya taa na wengine hata chumvi kama tiba ya kidonda hasa pale ikitokea mtu amejikata na kitu chenye asili ya chuma. Swali langu ni sahihi kutumia vitu hivi? Na kama sio sahihi ni kwanini? Na kama kuna madhara ya matumizi yake naomba nieleweshwe.
Natanguliza shukrani.