Kwani ninavyojuwa mimi chumvi ukijikata inasaidia kuzuia Damu isiendelee kutoka lakini kwa mafuta ya TaaHabari zenu wanaJF, nimekua mara kwa mara nashuhudia watu wakitumia mafuta ya taa na wengine hata chumvi kama tiba ya kidonda hasa pale ikitokea mtu amejikata na kitu chenye asili ya chuma. Swali langu ni sahihi kutumia vitu hivi? Na kama sio sahihi ni kwanini? Na kama kuna madhara ya matumizi yake naomba nieleweshwe. Natanguliza shukrani.
Habari zenu wanaJF, nimekua mara kwa mara nashuhudia watu wakitumia mafuta ya taa na wengine hata chumvi kama tiba ya kidonda hasa pale ikitokea mtu amejikata na kitu chenye asili ya chuma. Swali langu ni sahihi kutumia vitu hivi? Na kama sio sahihi ni kwanini? Na kama kuna madhara ya matumizi yake naomba nieleweshwe. Natanguliza shukrani.
Basi hata kutowa (Like) unashindwa? mkuu Ipycalypse Mpaka watu waombe??Ahsanteni wakuu LEGE, MziziMkavu, njiwa pamoja na King Kong III. Hakika nitaipeleka hii elimu kwa watanzia wengine
chumvi haina madhara kiafya ni dawa chumvi.Mkuu Ipycalypse Mafuta ya Taa usijipake tafadhali.MziziMkavu lakini haina madhara kwa afya?
Basi hata kutowa (Like) unashindwa? mkuu Ipycalypse Mpaka watu waombe??
sasa hizo Like hazifanyi kazi katika mobile kwanini hurekebishi na wewe ni Super Moderator Mzima?Mkuu RouletteJamani, mbona mnapenda likes hivo? kama yuko mobile je?
Labda niongeze kidogo:
Katika hali ya haraka haraka unaweza kutumia urines (haja ndogo) au asali kupoza kidonda cha moto. vinatumika kama antibiotic zaidi ya hayo asali ina soothing effect itakayo punguza maumivu kwa muda. Narudia tena, tiba hii ni ya pale kwa pale, ila haiziwii tiba ya kawaida. Do NOT cover kidonda cha moto in first aid operations.
Unanifurahisha sana bibie vipi Ramadhani imepanda? Mimi si Mtu wa Complains hata siku moja mtakavyo fanya nyinyi wakubwa mimi kwangu ni sawa Msini BAN tu Mkuu RouletteUmeanza kuchakachua thread ya watu? hayo yapeleke complains