Mafuta ya Turkana bado ni ndoto ya Abumisayo, Tullow yailakamikia serikali kwa ukiritimba.

Shida kubwa kenya sio ukabila ama ufisadi..Shida kubwa ni kupenda sifa, kujimwabafy...Hauwezi jifunza chochote ukiwa na attitude kama hio
Ujuaji ni Mwingi sana kwa Jirani zetu, na Kibaya zaidi kila kitu watalinganisha na aidha Tanzania ili tujione dhaifu au a USA ili waonekana kwamba wako juu kama USA.
Japo nawasifia mambo mawili, Rais Wa Kwanza Mweusi kutawala Marekani asili yake Kenya na Pili kwenye riadha duniani wanafanya vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hili tatizo la wakenya kupenda sana kujisifu na kujiona wao ni babukubwa, chimbuko lake ni nini hasa?, kwasababu hili ni sababu kubwa sana ya wakenya kuharibikiwa katika mambo yao mengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuaji ni Mwingi sana kwa Jirani zetu, na Kibaya zaidi kila kitu watalinganisha na aidha Tanzania ili tujione dhaifu au a USA ili waonekana kwamba wako juu kama USA.
Japo nawasifia mambo mawili, Rais Wa Kwanza Mweusi kutawala Marekani asili yake Kenya na Pili kwenye riadha duniani wanafanya vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangekuwa wanajilinganisha hata na S.A au Nigeria kuliko kujilinganisha Tz [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya hakuna mafuta yoyote ya ukweli, mafuta yaliyopo Kenya ni ⅛ ya waliyo tangaza nilitaka kuleta Uzi hapa ila kila nikileta Uzi napigwa ban kuwa mm ni muongo baada ya muda ukweli unakuwa wazi mfano nilileta Uzi wa kdf kukimbia kambi tena wakiwa uchi Na kuacha inavamiwa na all shabab na kusababisha wamarekani kupigana pekeyao kujiokoa nikala ban baada ya muda ikaonekana ni kweli ,
Sasa kwenye ili la mafuta kuna siri kubwa kama mtakumbuka kabla ya magufuli kuwa raisi wakenya walitangaza kugundua tanzanite Kenya, lengo lilikuwa kufanikisha wizi wa tanzanite ya tz na hiki ndicho kilicho fanyika kwenye mafuta ya Kenya ili kuibia Uganda mafuta yao ilibidi bomba liunganishwe na la Kenya kisha mabeberu wakishirikiana na serikali ya Kenya wangefanikisha wizi wa mafuta ya Uganda ,watu wataniona muongo Ila niukweli mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Evidence plz

A chana na mafuta maji yenyewe ni kidogo Kenya. Ila kwa mafuta walianza kwa mbwembwe eti truck ya Kwanza iliyo beba mafuta yatinga Mombasa leo shangwe zipo wapiii kimya [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwaiyo ni kweli walikuwa wamejiandaa kuiba mafuta ya uganda kama walivyokuwa wamejiandaa kukwapua tanzanite ya Tz?
 
Back
Top Bottom