Kwenye swala la mafuta kulikuwa na mabeberu na serikali ya Kenya ila habari ya chini ya kapeti zinasema mabeberu yalitaka nayo kutapeliana ndani kwa ndani hivyo kuonekana njia salama ni kupitishia hayo mafuta tz ,ndiyo maana unaona hadi Leo mabeberu wanasuasua kujenga boma kwa haraka hapa tz