MAFUTA YA UBUYU KWA WADADA: Kwa kuboresha tendo

MAFUTA YA UBUYU KWA WADADA: Kwa kuboresha tendo

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Shikamooni,

Kama wewe ni mwanamke jaribu kununua mafuta ya ubuyu uwe unayanywa na kuyapaka. Dozi : 1) Kunywa vijiko viwili vya chakula mara mbili kwa siku (nusu saa kabla au baada ya kula chochote (usiyachemshe pls) (2) yapake kwenye papuchi kila siku afta kuoga (panga mengi). Itasaidia kuzidisha hamu ya tendo la ndoa na kuongeza joto plus mnato kunako.

Note: Hakikisha ni yenyewe kutoka kiwandani sio yale yalochakachuliwa.

Tumia baada ya mwezi alafu ulete majibu kuprove ukweli wa hili.

Samahani kama hii post imekukwaza.

SHUKURANI: Nawashukuru sana wale wote mliofika PM kuulizia kuhusu upatikanaji na matumizi ya mafuta haya. Usisite kuuliza ili upate msaada zaidi. Hata wale wanaojifanya kupotezea ila kimoyomoyo wameyakubali na wameshaanza kuyatumia nawatakia kila la heri na mafanikio katika mchakato huu wa kuunga Papuchi a.k.a punani zenu.
 
Faida kwa wote masilahi ya wote:- Je nije na mwekezaji imara utupeleke kiwandani tuanze bizines na wadada?
nawe utakuwa Marketing Rep.
 
Shikamooni,

Kama wewe ni mwanamke jaribu kununua mafuta ya ubuyu uwe unayanywa na kuyapaka. Dozi : 1) Kunywa vijiko viwili vya chakula mara mbili kwa siku (nusu saa kabla au baada ya kula chochote (usiyachemshe pls) (2) yapake kwenye papuchi kila siku afta kuoga (panga mengi). Itasaidia kuzidisha hamu ya tendo la ndoa na kuongeza joto plus mnato kunako.

Note: Hakikisha ni yenyewe kutoka kiwandani sio yale yalochakachuliwa.

Tumia baada ya mwezi alafu ulete majibu kuprove ukweli wa hili.

Samahani kama hii post imekukwaza.
Na sisi wanaume tunaweza kutumia hiyo Dozi na kupaka mkwaju ili urefuke zaidi na kunenepa?
 
Hivi, mbona tunahangaingia sana papuchi??
anyway, ngoja tujaribu tuone ni nini.

Isije tu ikaanza kupukutika.
 
Hivi, mbona tunahangaingia sana papuchi??
anyway, ngoja tujaribu tuone ni nini.

Isije tu ikaanza kupukutika.

Hahahaha wanaozihangaikia papuchi mjini ndo hao kutwa kutuibia waume zetu tunabaki single parent kulea watoto peke yetu. Aka nitajaribu mie. Ngoja niiunge nione kama kuna mabadiliko kwenye joto la ndani na mwili kwa ujumla.
 
Post nzuri sana hii ila nashauri mtakaoimarishiwa hamu kwa mafuta haya mtulie katika ndoa zenu, ukimwi bado dawa yake haijapatikana.
 
hahahahahaha
hivi hii inaweza kuwa suluhu ya watu kutoka nje?ni vigumu kujua watu wanataka nini kwenye mahusiano hasa binadamu maana kila siku ana badilika. leo itakuwa mnato lakini mwingine atamfata mama ntilie kisa ana jua kupika lakini ataacha papuchi mnato nyumbani na iliyo tengenezwa ki asili. binadamu wako complex sana.

kuna wengine watayapaka alaf watabaki kama gogo.

daaa kumbe mbuyu unaweza kuwa msaada kiasi hiki.
 
Haya mafuta ni dawa.
ushuhuda-kuna mama alikuwa ansumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu tangu atumie lita 3 za mafuta haya tatizo liliisha 2yrs ago.

Jaribu uone.
angalizo .lazima yawe halisi/original
 
Haya yote wanasabsha wapenda mnato,wat wanakagua hata mibuyu hapa mbna hamna relation ya mwnekano maana mubuyu n likubwa balaaa
 
Heh
Hua napaka mwilini tu kama mafuta
Kumbe ina shughuli zingine?
Basi sawaa
 
Back
Top Bottom