Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
- #21
Heh
Hua napaka mwilini tu kama mafuta
Kumbe ina shughuli zingine?
Basi sawaa
Bibi kanywe na upake kunako, utashaa utavyomwagiwa misifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heh
Hua napaka mwilini tu kama mafuta
Kumbe ina shughuli zingine?
Basi sawaa
Ujumbe umefika mamaBibi kanywe na upake kunako, utashaa utavyomwagiwa misifa
Shikamooni,
Kama wewe ni mwanamke jaribu kununua mafuta ya ubuyu uwe unayanywa na kuyapaka. Dozi : 1) Kunywa vijiko viwili vya chakula mara mbili kwa siku (nusu saa kabla au baada ya kula chochote (usiyachemshe pls) (2) yapake kwenye papuchi kila siku afta kuoga (panga mengi). Itasaidia kuzidisha hamu ya tendo la ndoa na kuongeza joto plus mnato kunako.
Note: Hakikisha ni yenyewe kutoka kiwandani sio yale yalochakachuliwa.
Tumia baada ya mwezi alafu ulete majibu kuprove ukweli wa hili.
Samahani kama hii post imekukwaza.
What if tayari joto liko kama jiko la mkaa na hamu inasoma full asubuhi na jioni? Hayana faida ya ziada kwa afya?
Cc MziziMkavu

kwa hujui kuwa wema huanzia nyumbani?We papuchi yako imekuwa mnato?
We papuchi yako imekuwa mnato?
Post nzuri sana hii ila nashauri mtakaoimarishiwa hamu kwa mafuta haya mtulie katika ndoa zenu, ukimwi bado dawa yake haijapatikana.
Hapo kwenye bold bora umeweka angalizo maana maubuyu yangeisha huko masokoni kama ungesema inafanya dushelele iongezeke urefu....LOLKama utakunywa yataongeza nguvu na ubora wa mbegu za kiume lakini kurefusha hapana.
Hapo kwenye bold bora umeweka angalizo maana maubuyu yangeisha huko masokoni kama ungesema inafanya dushelele iongezeke urefu....LOL