mafuta ya ubuyu na bei zake

mafuta ya ubuyu na bei zake

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
jaman nmevutiwa na faida za mafuta ya ubuyu sasa je kwa hapa moshi yanapatikana wapi na yanauzwaje? hata Arusha tafadhar
 
Yana bei sana hayo, kwa Dodoma lita tano ni 180, 000 - 200, 000T
 
Mm nayataka my 0718601714 ila tupunguziane

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Yapo mengi tu mkuu nenda kwenye supermarkets utayapata. Yapo ya 250ml, 500ml lita nk. Bei zake zinategemea na mahali ulipo, mfano Dodoma unaweza kupata lita moja kwa tsh 25000/- lakini mwanza ukapata kwa 50000/-@lita.
 
Mm nayataka my 0718601714 ila tupunguziane

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Naweza kukutumia toka Dom kwa 30000 per lt + 5000 send fee, by shabiby bus ila ni baada ya kulipia gharama kwa MPESA. Tel: 0765829257
 
Back
Top Bottom