N nyarwaka Member Joined Nov 10, 2012 Posts 51 Reaction score 8 May 5, 2013 #1 Natumai j/pili inaenda sawia kabisa. Ndugu wadau, naomba kuelimishwa juu ya umuhimu wa mafuta ya ubuyu kwa afya ya binadamu. Pia napenda kufahamu madhara yake kama yapo. Nawasilisha.
Natumai j/pili inaenda sawia kabisa. Ndugu wadau, naomba kuelimishwa juu ya umuhimu wa mafuta ya ubuyu kwa afya ya binadamu. Pia napenda kufahamu madhara yake kama yapo. Nawasilisha.
mbaraka.m JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 209 Reaction score 37 May 6, 2013 #2 Kuna thread inazungumzia iyo kitu jaribu kuitafuta humu.au andika faida za mafuta ya ubuyu kwenye google search itakuja
Kuna thread inazungumzia iyo kitu jaribu kuitafuta humu.au andika faida za mafuta ya ubuyu kwenye google search itakuja