Mafuta ya ubuyu na umuhimu wake kwa afya binadamu

Mafuta ya ubuyu na umuhimu wake kwa afya binadamu

nyarwaka

Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
51
Reaction score
8
Natumai j/pili inaenda sawia kabisa. Ndugu wadau, naomba kuelimishwa juu ya umuhimu wa mafuta ya ubuyu kwa afya ya binadamu. Pia napenda kufahamu madhara yake kama yapo. Nawasilisha.
 
Kuna thread inazungumzia iyo kitu jaribu kuitafuta humu.au andika faida za mafuta ya ubuyu kwenye google search itakuja
 
Back
Top Bottom