Mafuta ya ubuyu

Mafuta ya ubuyu

liolio

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
40
Reaction score
8
Ndugu wadau wa ukurasa huu mi ni kijana ambaye nimeamua kujiajiri na kwa sasa nipo kwenye mchakato wa kutafuta soko la mafuta ya ubuyu haswa haswa kwa wale wanao chukua kwa jumla. kupitia ukurasa huu naimani naweza fanikisha lengo langu. naomba mniunge mkono wadau.
 
Sawasawa mkuu, bonge la biashara, ila kwanza kazi ya hayo mafuta ni nini jombaa?
 
mafuta yana kazi nyingi sana katika mwili wa binadamu mkuu. kwanza yana tibu kisukari, yana punguza vitambi yana rutubisha ngozi yanaongeza cd 4. pia kwa wenzetu wana yaprocess na kutengeneza mafuta ya nywele na vitu vingine kibao.
 
Back
Top Bottom