Ndugu wadau wa ukurasa huu mi ni kijana ambaye nimeamua kujiajiri na kwa sasa nipo kwenye mchakato wa kutafuta soko la mafuta ya ubuyu haswa haswa kwa wale wanao chukua kwa jumla. kupitia ukurasa huu naimani naweza fanikisha lengo langu. naomba mniunge mkono wadau.