Mafuta yameanza kushuka bei kwenye soko la Dunia

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Week hii bei ya mafuta ghafi imeshuka kwa 11% mpaka kufika chini ya $100 kwa pipa.

Sababu kubwa inachangiwa na kushuka Kwa demand ambayo imesababishwa na kuanguka kwa uchumi za nchi nyingi hasa dunia ya kwanza.

Na nyingine, nchi zinachimba mafuta zimekubaliana kuongeza uzalishaji wa mafuta.

Je, huku kwetu bei itashuka kwa kiwango gani?
 
Inaweza kushuka kidogo ila nauli zitashuka siku Yesu akishuka
 
Week hii bei ya mafuta ghafi imeshuka kwa 11% mpaka kufika chini ya $100 kwa pipa.

Sababu kubwa inachangiwa na kushuka Kwa demand ambayo imesababishwa na kuanguka kwa uchumi za nchi nyingi hasa dunia ya kwanza.

Na nyingine, nchi zinachimba mafuta zimekubaliana kuongeza uzalishaji wa mafuta.

Je, huku kwetu bei itashuka kwa kiwango gani?
Huku hawashushagi
 
Hii nchi aliiwezaJPM tu..hao wengine wanakula meza moja na mafisadi..hutasikia yameshuka zaidi ya kupanda.

#MaendeleoHayanaChama
 
Week hii bei ya mafuta ghafi imeshuka kwa 11% mpaka kufika chini ya $100 kwa pipa.

Sababu kubwa inachangiwa na kushuka Kwa demand ambayo imesababishwa na kuanguka kwa uchumi za nchi nyingi hasa dunia ya kwanza.

Na nyingine, nchi zinachimba mafuta zimekubaliana kuongeza uzalishaji wa mafuta.

Je, huku kwetu bei itashuka kwa kiwango gani?
... stock iliyopo nchini ni kubwa sana; inatosheleza hadi Msimu wa Pasaka Aprili 2023 bila kuagiza hata pipa moja. Tuwe wavumilivu.
 
Back
Top Bottom