Huku hawashushagiWeek hii bei ya mafuta ghafi imeshuka kwa 11% mpaka kufika chini ya $100 kwa pipa.
Sababu kubwa inachangiwa na kushuka Kwa demand ambayo imesababishwa na kuanguka kwa uchumi za nchi nyingi hasa dunia ya kwanza.
Na nyingine, nchi zinachimba mafuta zimekubaliana kuongeza uzalishaji wa mafuta.
Je, huku kwetu bei itashuka kwa kiwango gani?
... stock iliyopo nchini ni kubwa sana; inatosheleza hadi Msimu wa Pasaka Aprili 2023 bila kuagiza hata pipa moja. Tuwe wavumilivu.Week hii bei ya mafuta ghafi imeshuka kwa 11% mpaka kufika chini ya $100 kwa pipa.