MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Kama Simba na Yanga usajili na maandakizi ya kuanza ligi yanaenda sawa basi hakuna tatizo mafuta yapande saba bei, Bando zipande hakuna shida. Kikubwa yanga na Simba mmabo yako sawa hayo mengine ya bei hayatuhusu sisi na kinacho tuhusu ni Yanga na Simba tu.
Watanzania ni wahakikishie bei za mafuta, Bando na vitu vingine vitapanda bei na hakuna mtakacho fanya zaidi ya kulalamika, na kukaa viling kujadili Jezi za Yanga na Simba na usajiri pia, na nzuri ni kwamba watawala walisha wasoma wakajua nyie ni watu mnapenda yanga na simba basi.
Na sana sana kikubwa mnacho kiangalia ni mafanikio ya Simba na Yanga, yaani mafuta hata yafike elfu 5 kwa lita haina tatizo ilimuladi Simba na Yanga mambo yanaenda sawa.