Mafuta yamepanda bei? Ila Simba na Yanga si mambo yanaenda Sawa?

Mafuta yamepanda bei? Ila Simba na Yanga si mambo yanaenda Sawa?

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Kama Simba na Yanga usajili na maandakizi ya kuanza ligi yanaenda sawa basi hakuna tatizo mafuta yapande saba bei, Bando zipande hakuna shida. Kikubwa yanga na Simba mmabo yako sawa hayo mengine ya bei hayatuhusu sisi na kinacho tuhusu ni Yanga na Simba tu.

Watanzania ni wahakikishie bei za mafuta, Bando na vitu vingine vitapanda bei na hakuna mtakacho fanya zaidi ya kulalamika, na kukaa viling kujadili Jezi za Yanga na Simba na usajiri pia, na nzuri ni kwamba watawala walisha wasoma wakajua nyie ni watu mnapenda yanga na simba basi.

Na sana sana kikubwa mnacho kiangalia ni mafanikio ya Simba na Yanga, yaani mafuta hata yafike elfu 5 kwa lita haina tatizo ilimuladi Simba na Yanga mambo yanaenda sawa.
 
Simba na yanga wanashida gani? Watu wanamaumivu moyoni kupanika haisaidii kitu mkuu, smart people wanafanya vitu kwa procedure hawahamaki na kukurupuka
Watanzania wanacho anagali ni Simba na Yanga je usajili umeekaaje? Basda ya hapo sana watadiscus usajili wa Ligi ya EPL basi,.
 
Simba na yanga wanashida gani? Watu wanamaumivu moyoni kupanika haisaidii kitu mkuu, smart people wanafanya vitu kwa procedure hawahamaki na kukurupuka
Kwa hio unadaamana moyoni mwako?
 
yaani wewe jamaa sijaona mantiki kwenye uzi wako bado..
 
Mambo ya simba na yanga kwenye kupanda kwa bei ya mafuta kunahusiana na nini? Jenga hoja zako usihusishe na mambo ya mpira simba na yanga siyo serikali wala hawana visima vya mafuta.
 
Back
Top Bottom