M Mzalendo_Mkweli JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 2,025 Reaction score 1,270 May 4, 2018 #21 Ningeomba tupewe taarifa toka kwa wanaojua kuhusu ubora wa mafuta/petrol inayouzwa ktk vituo ksma Oilcom, GBP na vingine kadhaa ambavyo vinauza mafuta/petrol kwa bei ya chini sana (shilingi 60 chini ya bei elekezi). Ahsante
Ningeomba tupewe taarifa toka kwa wanaojua kuhusu ubora wa mafuta/petrol inayouzwa ktk vituo ksma Oilcom, GBP na vingine kadhaa ambavyo vinauza mafuta/petrol kwa bei ya chini sana (shilingi 60 chini ya bei elekezi). Ahsante
falcon mombasa JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 9,189 Reaction score 9,299 May 6, 2018 #22 MAGARI