Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Ningeomba tupewe taarifa toka kwa wanaojua kuhusu ubora wa mafuta/petrol inayouzwa ktk vituo ksma Oilcom, GBP na vingine kadhaa ambavyo vinauza mafuta/petrol kwa bei ya chini sana (shilingi 60 chini ya bei elekezi). Ahsante