Mafwele: Ukimwona Kamanda mfuate utoe changamoto yako atakusaidia

Mafwele: Ukimwona Kamanda mfuate utoe changamoto yako atakusaidia

Aliwa kukufanya Nini? Maana kama kulawitiwa bas ww ungetaka kila siku kuingia kwenye 18 zake ili ulawitiwe kila mara
Umeshasahau ulivyonihadithia kwamba alikulawiti hadi ukaanza kutembea kama mtu mwenye matege, siyo?
 
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Faustine Mafwele, ametoa taarifa leo katika ukumbi wa Central Police akieleza kuwa hali ya usalama jijini ni shwari kabisa na kila mwananchi anaendelea na shughuli zake bila kuingiliwa.

Akizungumzia mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara utakaofanyika Jumamosi tarehe 10 Oktoba 2026 majira ya jioni katika Uwanja wa Uhuru, Temeke, ambao utakutanisha timu za Simba na Yanga, Kamanda huyo amesema ulinzi na usalama umeimarishwa kwa kushirikiana na wadau wote.

Aidha amewakumbusha mashabiki, wapenzi na wadau wote wa soka kujiepusha na vitendo vyote vinavyokwenda kinyume na sheria, kanuni za ligi na taratibu za mikusanyiko. Polisi imewataka timu zote mbili mchezo mzuri.

Katika taarifa nyingine, polisi imethibitisha kupatikana kwa binti mmoja aitwaye Enjo Abayo, mwenye umri wa miaka 19, ambaye alidaiwa kutoweka na mtoto mdogo wa miezi 10 eneo la Kibada, Kigamboni.

Soma >> Muliro: Msiogope kuomba lifti kwenye Difenda

Katika uchunguzi, binti huyo alieleza kuwa aliondoka na mtoto huyo kwenda kumsalimia dada yake aliyepata ajali Kibaha baada ya waajiri wake kukataa kumruhusu. Polisi imewashukuru wananchi na wadau wa uchunguzi kwa kushirikiana ili tukio hilo litafutuliwe kwa muda mfupi.

Aidha, SACP Mafwele amewahimiza wananchi kushiriki katika kampeni mpya iitwayo “Ongea na Kamanda” inayolenga kuwawezesha wananchi kuzungumza na makamanda katika ngazi mbalimbali ili kutoa changamoto za kiusalama na kupata suluhisho pale inapohitajika.

“ukisikia Kamanda yuko eneo fulani, nenda pale uweze kupata taarifa na kutoa changamoto ili tusaidiane kutatua matatizo ya kiuhalifu,” amesema Kamanda huyo.

Huyu MHALIFU aliyejificha kwenye sare za mapolisi ana macho kama ya mamba, hakika mtu muuaji na katili hawezi kujificha kabisa.
 
Muuaji wa Polepole huyo kwa nyundo ya kichwa, siku ukipatikana utawala unaoheshimu sheria LAZIMA atawajibika tu.
 
Back
Top Bottom