Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Dah...[emoji86]... hao hawana thwawabu yoyote; ni takataka; wengine wanadai ni kuni kuchochea moto wa jahanamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...[emoji86]... hao hawana thwawabu yoyote; ni takataka; wengine wanadai ni kuni kuchochea moto wa jahanamu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukiristo sio dini mjomba[emoji23][emoji23] stuka,sanuka,jitambue,inuka,acha ujinga.ukiristo sio diniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ha ha ha ha ha ha ha haWatakuwa wanasaidiana na mabikra itakua[emoji23]
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haWamewahishwa kufaidi mabikira 72 na mito ya Pombe
Hivi Allah alimpa Adam wanawake wangapi ?Pepon ni sehemu ya starehe halaf chengine wakristo wengi hawana nguvu za kiume ndo mana mabwana zenu wa makanisan wanawashauri mke kuoa ni mmoja
Kwa hiyo unakubali kua ukristo sio diniUkristo ni imani ndani ya Kristo Yesu,achana na magaidi mzee unapoteza muda wako.
Hivi Ibrahim alio wake wangapiHivi Allah alimpa Adam wanawake wangapi ?
Na kwanini ?
Jibu kwanza nilivyo kuuliza.
Jibu lako lipo kwenye hilo swali alafu usinipangie cha kuulizaJibu kwanza nilivyo kuuliza.
Banadamu wa kwanza ni Adam.
Allah alimkabidhi wake wangapi ?
Ibrahim anakujaje kwenye swali langu ?
Kwanini huulizi Muhammadi alikuwa na wake wangapi, hadi umwulizie Ibrahimu.