Magaidi 60 wenye itikadi za kidini wauawa Somalia

Magaidi 60 wenye itikadi za kidini wauawa Somalia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wamewahishwa kuleeee.

=========

The Somali National Army (SNA) says it has killed dozens of Al-Shabaab fighters in a morale boost against the militant group.

Haradhere District Commissioner Mohamed Yusuf Kulmiye said that the SNA had received information about the movement of Al-Shabaab militants travelling in two vehicles after which it launched an attack. Haradhere is located northeast of Mogadishu.

“An operation was assembled to intercept the extremist militants and their vehicles, the soldiers managing to kill all 60 terrorists travelling on the vehicles,” said Kulmiye, adding that the SNA forces seized the two vehicles and the weapons the militants carried.

The ambush occurred near a location called Ali-Qabobe, about 30 km south of Haradhere.

Tusiwasahau Wachungaji Magaidi kama walio uwa watu Kenya kwa kuwashawishi wasile chakula.

Hawa ni magaidi ndani ya Ukristo.
 
Tusiwasahau Wachungaji Magaidi kama walio uwa watu Kenya kwa kuwashawishi wasile chakula.

Hawa ni magaidi ndani ya Ukristo.
Ungefungua uzi wako haukatazwi . Acha kuvuruga mjadala.
 
Ungefungua uzi wako haukatazwi . Acha kuvuruga mjadala.
Navuruga vipi tena, mada inahusu Ugaidi ndani ya Dini.
Hizi Dini lazima tuwenazo makini, Kuna Ugaidi mkubwa unajificha kwenye Dini.
 
Tusiwasahau Wachungaji Magaidi kama walio uwa watu Kenya kwa kuwashawishi wasile chakula.

Hawa ni magaidi ndani ya Ukristo.

Kuna tofauti, wale wa Kenya walijipeleka wenyewe kwa ujinga wao na kujifia huko, ila hawa hulazimisha watu waingie kwenye dini yao au wafe.
Kimsingi haya mambo ya dini yanapaswa yawe kwa hiari, ukiamua kuishi bila dini usilazimishwe au kuuawa, uishi kivyako utakavyo.
 
Back
Top Bottom