Magaidi wa Hamas huko Gaza wanaendelea kuteka nyara misaada inayopelekwa huko

Magaidi wa Hamas huko Gaza wanaendelea kuteka nyara misaada inayopelekwa huko

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kuteka nyara misaada ya chakula ambayo ilipaswa kuwafikia wananchi wa Palestina badala yake misaada hiyo magaidi hao wanaipeleka kwenye Mahandaki!!!

Wanaochukua misaada ya vyakula ni kikundi kilichoanzishwa na Israel huko Gaza lengo ni kuwashambulia Hamas na kuteka vyakula huku wakizuia wananchi kwa mtutu kusogelea gari lenye misaada, Israel hawa hawawashambulii.
 
Kuna uwezekano mkubwa wakati unaandika uozo huu ulikuwa umevuta bange!!!
 
Heating hamas..content Hezbollah.....ngoja nimcall mkuu wa kituo cha mirembe kama watu wake wote wapo
 
Hipo Documentary ya BBC ikielezea hii issue
Yawezekana maana najua BBC ni wazee wa Propaganda hasa kuhusu Mashariki ya Kati wanatumiwa sana na Magaidi wa Hamas!!
 
Back
Top Bottom