Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Yesu pia aliuliwa ,kwa kusulubiwa na kuteswa,kwa ajili ya kuwakomboa hao magaidi wa,Israel.Sasa Yesu anahusika vipi na hayo mauaji ya kinyama yanayofanywa na nduguzo katika imani.
Mbona kama umepanick kijana?
Sahihi kabisa...... Mungu Dagon.Mungu baali
Wadangan'yeni vichaa wenzako hao ni wale majasusi walio kuwa wanawapa infomation Israel. Punguzeni uwongo hizo propoganda zenu haziwezi hata siku moja kuipa ushindi Israel, ambayo ni dhaifu kuliko walivyo fikiria watu. Hilo taifa lilio undwa na Uingereza na badaye US akawa analitumia kwa agenda zake, linaelekea kufutwa hapo Middle East. US hata apeleke silaha vipi hilo taifa fake linadondoka taratibu.Ripoti za koo za Gaza kushambulia Hamas wakitaka kulipiza kisasi kwa wale walioteswa na kunyongwa kwa kushiriki katika maandamano ya hivi majuzi.
Gaza inaweza kuwa kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Kwa hakika sio matokeo ambayo Hamas iliyafikiria wakati ilipoivamia Israel mwaka mmoja na nusu uliopita.
Hard to watch ⛔️
View attachment 3290401
View attachment 3290424
Utaondoka wewe na familia yako lakini Israel iko pale pale!!. Kwa akili yako kiduchu unavyodanganywa msikitini unaambiwa Israel ni wazungu? Kama ni hivyo Wayahudi kwao ni wapi? Ina maana hawana nchi?Wadangan'yeni vichaa wenzako hao ni wale majasusi walio kuwa wanawapa infomation Israel. Punguzeni uwongo hizo propoganda zenu haziwezi hata siku moja kuipa ushindi Israel, ambayo ni dhaifu kuliko walivyo fikiria watu. Hilo taifa lilio undwa na Uingereza na badaye US akawa analitumia kwa agenda zake, linaelekea kufutwa hapo Middle East. US hata apeleke silaha vipi hilo taifa fake linadondoka taratibu.
Wayahudi na Warabu wanaisi mpaa leo kwa kuheshimiana nenda Yemen, Iraq, Morocco na nchi nyingi tu za kiarabu wapo. Hao kina Shetanyahu hao ni Mazionist wala hawana harufu ya Kiyahudi ukiongea kiyahudi si kwamba wewe ni Myahudi. Yahudi orignal a asali kama Muislam sio hao washika ukuta 😄 🤣Utaondoka wewe na familia yako lakini Israel iko pale pale!!. Kwa akili yako kiduchu unavyodanganywa msikitini unaambiwa Israel ni wazungu? Kama ni hivyo Wayahudi kwao ni wapi? Ina maana hawana nchi?
Sasa wewe ndiyo utashika ukuta!! Israel ni ya wayahudi hakuna ubishi!!Wayahudi na Warabu wanaisi mpaa leo kwa kuheshimiana nenda Yemen, Iraq, Morocco na nchi nyingi tu za kiarabu wapo. Hao kina Shetanyahu hao ni Mazionist wala hawana harufu ya Kiyahudi ukiongea kiyahudi si kwamba wewe ni Myahudi. Yahudi orignal a asali kama Muislam sio hao washika ukuta 😄 🤣
We unadhani wajukuu wa Yakobo ni kina Shetanyahu 😄 🤣 Wajukuu wa Yakobo walikuwa Waislam sio washika ukuta. Hebu nipe picture moja wapi Yesu alishika ukuta 🤣Sasa wewe ndiyo utashika ukuta!! Israel ni ya wayahudi hakuna ubishi!!
Kumbe upo sawaRipoti za koo za Gaza kushambulia Hamas wakitaka kulipiza kisasi kwa wale walioteswa na kunyongwa kwa kushiriki katika maandamano ya hivi majuzi.
Gaza inaweza kuwa kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Kwa hakika sio matokeo ambayo Hamas iliyafikiria wakati ilipoivamia Israel mwaka mmoja na nusu uliopita.
Hard to watch ⛔️
View attachment 3290401
View attachment 3290424
Mkuu sio maeneo hayo tu,labda useme ndio chimbuko la laana ya dunia yote!.hayo maeneo ya middle yanalaana. Damu limemwagika tangu zamani za kale.
Na damu haifukiwi na mchanga
Umeongea pointi kubwa sana ambayo mara zote imesahaulikahayo maeneo ya middle yanalaana. Damu limemwagika tangu zamani za kale.
Na damu haifukiwi na mchanga
Wayahudi na Warabu wanaisi mpaa leo kwa kuheshimiana nenda Yemen, Iraq, Morocco na nchi nyingi tu za kiarabu wapo. Hao kina Shetanyahu hao ni Mazionist wala hawana harufu ya Kiyahudi ukiongea kiyahudi si kwamba wewe ni Myahudi. Yahudi orignal a asali kama Muislam sio hao washika ukuta
Wadanganye wajinga na Wapumbavu kama wewe!! Hakuna sehemu waarabu wanakaa na wayahudi kwa amani hata huko Israel waarabu wana mitaa yao akiingia huko Muyahudi kuta kuwa na kelele nyingi sana. Nchi za nje ndiyo usiseme wayahudi wanawindwa kama panya na wahamiaji kutoka nchi za Wafuga Midevu na Majini kwa hiyo ni uongo mkubwa kusema kuwa waarabu na wayahudi wanakaa kwa amani.We unadhani wajukuu wa Yakobo ni kina Shetanyahu 😄 🤣 Wajukuu wa Yakobo walikuwa Waislam sio washika ukuta. Hebu nipe picture moja wapi Yesu alishika ukuta 🤣
Hamas walisha poteza dira kitambo sana, sasa ivi hawana tofauti na PANYA ROAD hawa eleweki wanacho kipigani ni nini ndio maana raia wenye akili timamu huko gaza wanawapinga waziwazi yaani wamekuwa ni kama kikundi cha wahuni wa mitaani wamebaki kupora tu misaada na kuanzisha vurugu ili wapewe misaada ya kifedha kwa manufaa yao na familia zao, nashangaa humu ndani wachache hawajagudua uhuni huu wa hawa jamaa na usikute hapo huyo jamaa kawakomalia waachie chakula cha msaada ndio wanambambikizia kesi ya kuwapingaRipoti za koo za Gaza kushambulia Hamas wakitaka kulipiza kisasi kwa wale walioteswa na kunyongwa kwa kushiriki katika maandamano ya hivi majuzi.
Gaza inaweza kuwa kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Kwa hakika sio matokeo ambayo Hamas iliyafikiria wakati ilipoivamia Israel mwaka mmoja na nusu uliopita.
Hard to watch ⛔️
View attachment 3290401
View attachment 3290424
Active ondoeni hiiRipoti za koo za Gaza kushambulia Hamas wakitaka kulipiza kisasi kwa wale walioteswa na kunyongwa kwa kushiriki katika maandamano ya hivi majuzi.
Gaza inaweza kuwa kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Kwa hakika sio matokeo ambayo Hamas iliyafikiria wakati ilipoivamia Israel mwaka mmoja na nusu uliopita.
Hard to watch ⛔️
View attachment 3290401
View attachment 3290424
Nenda zako huko pale pale Israel Warabu na Wayahudi orignal wanaishi kwa amani, wacha Yemen, Morocco. Hivi we hujui Iran kuna Wayahudi kuliko hata Israel na wanaishi kwa amani pia kule Iraq. Wewe unaongelea wale Mazionist sio Wayahudi ndio mana kule Israel wanakataza hata kufanya DNA sababu wale kina Shetanyahu sio originally watu wa pale.Wadanganye wajinga na Wapumbavu kama wewe!! Hakuna sehemu waarabu wanakaa na wayahudi kwa amani hata huko Israel waarabu wana mitaa yao akiingia huko Muyahudi kuta kuwa na kelele nyingi sana. Nchi za nje ndiyo usiseme wayahudi wanawindwa kama panya na wahamiaji kutoka nchi za Wafuga Midevu na Majini kwa hiyo ni uongo mkubwa kusema kuwa waarabu na wayahudi wanakaa kwa amani.
Wewe unaongelea kuhusu wajukuu hiyo wewe inakuhusu nini? Je Una uhakika gani hao si wajukuu wa Yakobo na sisi tuna uhakika gani wewe Mwarabu-koko ni Mmatumbi wa Kilwa?
Ujinga mtupu huo umesema hapa. Sasa Original wewe unawajuaje? Asikudanganye mtu wayahudi walioko nje wanaishi kwa hofu kubwa sana kwenye nchi za kiarabu ndiyo usiseme wanawindwa na kuchungwa kama panya. Hizo video hata haionyeshi uhalisia wowote wa mambo.. Maandamano yenyewe yamefanyika New-York na wahamiaji sasa kuna uhalisia gani hapo?Nenda zako huko pale pale Israel Warabu na Wayahudi orignal wanaishi kwa amani, wacha Yemen, Morocco. Hivi we hujui Iran kuna Wayahudi kuliko hata Israel na wanaishi kwa amani pia kule Iraq. Wewe unaongelea wale Mazionist sio Wayahudi ndio mana kule Israel wanakataza hata kufanya DNA sababu wale kina Shetanyahu sio originally watu wa pale.
View: https://youtube.com/shorts/9Kjn_K38QBM?si=5p_HLJXbPFIJe23k
Wasikie wale Wayahudi original wanasema nini