Magaidi wa Hamas waanza kuuana wao kwa wao!! Malipo ni hapa hapa duniani!!

Najua hutaki watu waone unyama wa magaidi wa Hamas ambao ni wabakaji, watekaji na wauaji wakubwa kuwahi kutokea huko Gaza. Fikiria wanauana wao kwa wao bila huruma unatarajia Oct 07,2023 ilikuwaje kwa wayahudi? Binafsi siwezi kuwaonea huruma wapalestina maana sasa hivi wao wanavuna walichopanda na malipo ni hapahapa duniani!!!
 
Ujinga mtupu huo umesema hapa. Sasa Original wewe unawajuaje? Asikudanganye mtu wayahudi walioko nje wanaishi kwa hofu kubwa sana kwenye nchi za kiarabu ndiyo usiseme wanawindwa na kuchungwa kama panya. Hizo video hata haionyeshi uhalisia wowote wa mambo.. Maandamano yenyewe yamefanyika New-York na wahamiaji sasa kuna uhalisia gani hapo?
Qur'an imetoa challenge miaka zaidi ya miaka 1446 leo hakuna aliye weza kujibu wapi Yakobo au Mussa au Ibrahim walisema fateni Uyahudi au Ukristo kwenye bibilia zenu.

Mtaishia kujitekenya tu kama mna dini, wakati hamna. Dini gani mnazo nyie za kushika ukuta na kuabudu sanamu.
 
Kwa hiyo ulivyo mjinga unataka tuzungumzie Quran humu? Kwanza Mimi sikiamini kitabu chako sasa na wewe unataka kuniaminisha nisichokiamini. Wewe endelea kuamini Unavyoamini lakini Baki uko palepale Israel iko hapo zaidi ya miaka 3,000 iliyopita na mtapambana lakini hamtashinda hata siku moja. Jiulize ni mara ngapi waarabu wamejaribu kuiangamiza Israel lakini matokeo yake majaribio yao yote waliangukia pua. Wangekuwa na akili sawa sawa wangę Jiulize kwa nini nchi ndogo kama Israel kwa nini waarabu wameshindwa kuiangamiza kama yalivyo mata manio yao? Kwa niaba ya wafuga Midevu na Majini wote Jiulize swali hili hali mjijibu na Mch ujue hatua ama sivyo kila siku Mtakuwa mnapoteza watu wenu bure tu.
 
Najua hutaki watu waone unyama wa magaidi wa Hamas ambao ni wabakaji, watekaji na wauaji wakubwa kuwahi kutokea huko Gaza. Fikiria wanauana wao kwa wao bila huruma unatarajia Oct 07,2023 ilikuwaje kwa wayahudi? Binafsi siwezi kuwaonea huruma wapalestina maana sasa hivi wao wanavuna walichopanda na malipo ni hapahapa duniani!!!
Mkuu; hebu tuliza munkari kidogo kwanza tuongee. Wapalestina hawana shida au tuseme hawana ukorofi. Ukorofi uko kwa kundi la kigaidi HAMAS. Kumbuka hapo Gaza yapo makundi mengi ya kisiasa zaidi ya 7. HAMAS is just one among them.
 
Kwa hiyo ulivyo mjinga unataka tuzungumzie Quran humu? Kwanza Mimi sikiamini kitabu chako sasa na wewe unataka kuniaminisha nisichokiamini. Wewe endelea kuamini Unavyoamini lakini Baki uko palepale Israel iko hapo zaidi ya miaka 3,000 iliyopita na mtapambana lakini hamtashinda hata siku moja. Jiulize ni mara ngapi waarabu wamejaribu kuiangamiza Israel lakini matokeo yake majaribio yao yote waliangukia pua. Wangekuwa na akili sawa sawa wangę Jiulize kwa nini nchi ndogo kama Israel kwa nini waarabu wameshindwa kuiangamiza kama yalivyo mata manio yao? Kwa niaba ya wafuga Midevu na Majini wote Jiulize swali hili hali mjijibu na Mch ujue hatua ama sivyo kila siku Mtakuwa mnapoteza watu wenu bure tu.
Wewe kichaa hebu kwanza jipime akili Israel ilikuwa wapi kabla ya 1948. Eti.miaka 3000 🤣 Kwa hio Muingereza ndio Mungu wenu sio 🤣 Si ndio alio liunda taifa hilo fake.

Kichaa kweli kweli Israel huyo omba omba ndio apigane ma warabu. Gaza kaishindwa tena kwa kusaidiwa na US na Europe
 
Kwa akili yako ya msikitini asili ya Wayahudi ni wapi?
 
Mkuu; hebu tuliza munkari kidogo kwanza tuongee. Wapalestina hawana shida au tuseme hawana ukorofi. Ukorofi uko kwa kundi la kigaidi HAMAS. Kumbuka hapo Gaza yapo makundi mengi ya kisiasa zaidi ya 7. HAMAS is just one among them.
Hakuna mtu mwema miongoni mwa wapalestina Oct 07,2023 walishiriki kikamilifu Kubaka,kuiba,kutesa,kuteka na kuua watu wa mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania kwa hiyo huwezi kunia bila kuna watakatifu au watu wema Gaza na mpaka sasa hizi kuna mateka wanaishi na raia na hawataki kuwatoa na kuna wengine wameficha maiti za mateka majumbani mwao hawataki kuzitoa maiti hizo.
Wapalestina kwa ujumla ni wakorofi walipewa hifadhi Misri wakanyea kambi,wakapewa hifadhi Jordan nako walinyea kambi wakapewa hifadhi Iraq na Kuwait nako walinyea kambi wakataka na kuipindua nchi ya Kuwait wakafukuzwa wote na ndiyo maana hakuna mtu Ana Wataka Vibaka hao. Misri yuko tayari wafie Mlangoni kwake lakini hawezi kufungua mlango wake kwa ajili ya Vibaka hao!!!
 
Duh! Kweli kiongozi umewakinai Wapalestina. Mbona sasa wanaosemekana wamefikia upeo na wanauana wenyewe kwa wenyewe ni magaidi wa Islamic Resistance Movement almaarufu kama Harkat al-Muqawamah al-Islamiyyah i.e. HAMAS? Sijasikia kwa wale wa vyama vingine vilivyopo.
 
Siyo kuwakinai hao watu si watu ni mazimwi tu angalia video hapo chini walivyovamia huko Israel raia ndiyo walikuwa wakibaka na kuua watu bila huruma leo hii wanajifanya wahanga!! Acha wachakazwe tu maana waliyataka wenyewe kuvamia wakitegemea Iran atawasaidia.

View: https://x.com/eyakoby/status/1907398299361198152?s=61
 
Halafu eti nchi za Afrika zinaombwa kuwapa hifadhi?!
Tutajuta!
 
Back
Top Bottom