Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Mbona sasa wanapigwa kikatiri na mijitu ambayo haina habari kabisa na Allah halafu Allah mwenyewe wala hajali? Hana nguvu?Allah ni mali ya Hezbollah na Houthi na Houthi na alshabab na alqaida na alshabab na Taleban wengine wote wanaomuabudu wanajipendekeza tu
Lakini Wayahudi hawana historia ya kuuwa watu ambao hawana ugomvi nao since dunia imeanza. Hawa Waarabu day 1 umeingia uislamu wameua sana, MO pekee yake in less that 5 years kapigana vita zaidi ya 10, alikufa tu wafuasi wake wameendelea kupigana hadi leo. Fikiria mfano Kibiti na MKIRU kwa ujumla wake, walikua wanapigana against what? Thank God tulikua na JPM, hachekagi na KIMA akawadhibiti but wakahamia Msumbiji. Swali linabaki, wanapigana ili wa achieve nini? Wayahudi kama Watanzania tu, hawana historia ya kupigana au kuua watu bila kuchokozwa au mtu/taifa ambalo hawana ugomvi nao.Waarabu wa Levant (Palestine, Syria, Lebanon na Jordan) ni ndugu wa Damu na Wayahudi... Mungu ana makusudi yake kuwafanya hawa watu wasipatane kwa Faida ya Binadamu wengine.
Imagine Ukatili na Akili za Wayahudi wangezichanganya na ndugu zao hapo Juu... Imagine Netanyahu anampa order Nasrallah au Sinwar wakapeleke vijana nchi fulani kufanya mission.
Kwahio wanabaki mateka wa Hamas hawawezi kujiteteaNa hapo ndipo Israel anapowazidi waarabu..
Sasa ndugu wa huyo jamaa anayeuliwa hadharani wakitangaziwa dau la maana na Israel watoe taarifa kuhusu maficho ya kiongozi wa hamas watakataa kweli?
Sidhani Israel au Hamas zinategemea propaganda zenu hapa.Wadangan'yeni vichaa wenzako hao ni wale majasusi walio kuwa wanawapa infomation Israel. Punguzeni uwongo hizo propoganda zenu haziwezi hata siku moja kuipa ushindi Israel, ambayo ni dhaifu kuliko walivyo fikiria watu. Hilo taifa lilio undwa na Uingereza na badaye US akawa analitumia kwa agenda zake, linaelekea kufutwa hapo Middle East. US hata apeleke silaha vipi hilo taifa fake linadondoka taratibu.
Achaneni na dini, ni mapokeo ya wanadamu. Mfuateni Mungu.Qur'an imetoa challenge miaka zaidi ya miaka 1446 leo hakuna aliye weza kujibu wapi Yakobo au Mussa au Ibrahim walisema fateni Uyahudi au Ukristo kwenye bibilia zenu.
Mtaishia kujitekenya tu kama mna dini, wakati hamna. Dini gani mnazo nyie za kushika ukuta na kuabudu sanamu.
Huwa unakuna wewe au utampeleka kwa mkunaji.Sibishani na mapunga,kama unawashwa njoo ukunwe ***** maziwa ww
Anateka Moyo ndio anaongoza mawazo yako kunena na kutenda yaliyo kinyume na Mungu.Shtani yupo ndani ya kanisa kasome Bibilia yenu vizuri. Kumbe we hujui kiti cha shetani kipo ndani ya kanisa 🤣 😂
Kwa tafsiri na uelewa wako, na kwa faida yako hilo lipo sahihi kwa namna unavyoamini. Litakusaidia na kukufaa.Sa mbona unakimbia swali langu hizo bikra 72 umezitoa kwenye bibilia sio. Bibilia ndio inaongelea bikira mtapata bikra 10 afu mkaja kututungia sie waislam eti tutapata bikra 72. Wapi Qur'an imesema kuna bikra 72 nyie wapo 10 😄 🤣 kufa ukajigongee 10
Matthew 25-28
English Standard Version
The Parable of the Ten Virgins
25 “Then the kingdom of heaven will be like ten virgins who took their lamps[a] and went to meet the bridegroom. 2 Five of them were foolish, and five were wise. 3 For when the foolish took their lamps, they took no oil with them, 4 but the wise took flasks of oil with their lamps. 5 As the bridegroom was delayed, they all became drowsy and slept. 6 But at midnight there was a cry, ‘Here is the bridegroom! Come out to meet him.’ 7 Then all those virgins rose and trimmed their lamps. 8 And the foolish said to the wise, ‘Give us some of your oil, for our lamps are going out.’ 9 But the wise answered, saying, ‘Since there will not be enough for us and for you, go rather to the dealers and buy for yourselves.’ 10 And while they were going to buy, the bridegroom came, and those who were ready went in with him to the marriage feast, and the door was shut. 11 Afterward the other virgins came also, saying, ‘Lord, lord, open to us.’ 12 But he answered, ‘Truly, I say to you, I do not know you.’ 13 Watch therefore, for you know neither the day nor the hour.
Tuwahurumie wananchi wa Gaza. Ni mateka wa Hamas, wanatumika kama kinga.Wewe ndiyo bwege na ndiyo maana wenzako huko Gaza wanauana wao kwa wao tena bila huruma!!
Hilo hapo ni Jambo umenena?!!!!Lakini mpaka lini? Ifikie hatua wajitambue!,,Tuwahurumie wananchi wa Gaza. Ni mateka wa Hamas, wanatumika kama kinga.
Hawana namna, wakipinga Hamas, wanauliwa, wakiunga mkono Hamas wanauliwa na IDF.
Mungu awasaidie, hawana namna
Mimi nashaangaa sana waafrika wanaojiunga na uislaamu. Uislamu una matabaka na wanabaguana wao kwa wao . Kuanzia Somalia mpaka Saudia. Nilishasema na nitaendelea kusema. Ndiyo maana muarabu hawezi kujenga shule, hospitali au chuo afrika. Ataishia kujenga misikiti na kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia. Hivi vitu hauwezi kuvijua bila kusafiri.Ripoti za koo za Gaza kushambulia Hamas wakitaka kulipiza kisasi kwa wale walioteswa na kunyongwa kwa kushiriki katika maandamano ya hivi majuzi.
Gaza inaweza kuwa kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Kwa hakika sio matokeo ambayo Hamas iliyafikiria wakati ilipoivamia Israel mwaka mmoja na nusu uliopita.
Hard to watch ⛔️
View attachment 3290424
🤣🤣🤣😂Hilo hapo ni Jambo umenena?!!!!Lakini mpaka lini? Ifikie hatua wajitambue!,,
Bibilia ndio inasema kiti cha shetani kipo katikati ya kanisa.Anateka Moyo ndio anaongoza mawazo yako kunena na kutenda yaliyo kinyume na Mungu.
Kuwa makini moyo wako usimpe shetwani. Hakai msikitini wala kanisani
Basi kama inasema kipo kipo. Na sijui kanisa gani?Bibilia ndio inasema kiti cha shetani kipo katikati ya kanisa.
Binadamu ni kiumbe cha kipumbavu sana. Unaacha kupigana na adui unaanza kuua ndugu zako.Ripoti za koo za Gaza kushambulia Hamas wakitaka kulipiza kisasi kwa wale walioteswa na kunyongwa kwa kushiriki katika maandamano ya hivi majuzi.
Gaza inaweza kuwa kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Kwa hakika sio matokeo ambayo Hamas iliyafikiria wakati ilipoivamia Israel mwaka mmoja na nusu uliopita.
Hard to watch ⛔️
View attachment 3290424
Makanisa yote tuBasi kama inasema kipo kipo. Na sijui kanisa gani?
Kazidiwa tu nguvuMbona sasa wanapigwa kikatiri na mijitu ambayo haina habari kabisa na Allah halafu Allah mwenyewe wala hajali? Hana nguvu?
Lugha ngumu hii sana.mfano umekuwa kupewa?. Na huo mstari wa 13 Yesu anasema kumalizia mfano wake.Sa mbona unakimbia swali langu hizo bikra 72 umezitoa kwenye bibilia sio. Bibilia ndio inaongelea bikira mtapata bikra 10 afu mkaja kututungia sie waislam eti tutapata bikra 72. Wapi Qur'an imesema kuna bikra 72 nyie wapo 10 😄 🤣 kufa ukajigongee 10
Matthew 25-28
English Standard Version
The Parable of the Ten Virgins
25 “Then the kingdom of heaven will be like ten virgins who took their lamps[a] and went to meet the bridegroom. 2 Five of them were foolish, and five were wise. 3 For when the foolish took their lamps, they took no oil with them, 4 but the wise took flasks of oil with their lamps. 5 As the bridegroom was delayed, they all became drowsy and slept. 6 But at midnight there was a cry, ‘Here is the bridegroom! Come out to meet him.’ 7 Then all those virgins rose and trimmed their lamps. 8 And the foolish said to the wise, ‘Give us some of your oil, for our lamps are going out.’ 9 But the wise answered, saying, ‘Since there will not be enough for us and for you, go rather to the dealers and buy for yourselves.’ 10 And while they were going to buy, the bridegroom came, and those who were ready went in with him to the marriage feast, and the door was shut. 11 Afterward the other virgins came also, saying, ‘Lord, lord, open to us.’ 12 But he answered, ‘Truly, I say to you, I do not know you.’ 13 Watch therefore, for you know neither the day nor the hour.
Pole sana. Maandiko haya yamekuzidi uelewa wako pakubwa sana. Alafu hata uwezo wako wa kupotosha maandiko kwako ni mdogo sana.Makanisa yote tu
Ufu 2:13 SUV
BHN
SUV
Neno
SRUV
Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.