I can see it, waongo sana hawa watu na wakiwa wanaongea UONGO unawaona walivo wakavu usoni, hata aibu hawaonagi. Stupid, kwenye Ukristo regardless what, uongo ni mali ya shetani na shetani ndio nwanzilishi wa uongo and hence, mwongo ni mfuasi wa shetaniKuna kitu waislamu wanakitumia sana “ TAQIYYAH “ kusema uongo kwa ajili ya Mnyazimungu wao!!
Wakachukue mateka wao waache mipasho yao Tramp kapigq Domo na uyo dogo nae anabwata bwata sio ndio Entebe masaa72 vipi mipasho mingi!!!Jeshi la Israel limetka ONYO kali kwa Magaidi wa Hamas i kiwa watajaribu kuwadhuru mateka wa Israel kufuatia tishio lao la kuwaua mateka wa Israel endapo Israel itaendeleza mashambulio yao kwa magaidi hao. Jeshi hilo limesema huko kutasababisha eneo lote łka Gaza kuchukuliiwa na majeshi hayo.
Safari hii Mtanyooka tu!!Mana Tramp alidai adi jumamos ya mwezi uliopita leo tupo mwez w3 akuna aliemsikia uyo dogo Ndio ataeleweka nendeni Gaza sio mbali upandi ndege!!!! Ilituone ushujaa wenu sio kwenye Media kelelee zoteeeee kwenye vitendo O
kwani lile swala la kukomboa mateka liliishiaga wapi!!Jeshi la Israel limetoa ONYO kali kwa Magaidi wa Hamas i kiwa watajaribu kuwadhuru mateka wa Israel kufuatia tishio lao la kuwaua mateka wa Israel endapo Israel itaendeleza mashambulio yao kwa magaidi hao. Jeshi hilo limesema huko kutasababisha eneo lote łka Gaza kuchukuliiwa na majeshi hayo.