Nilifikiri peke yangu ndo nimegundua hili.Huwa wanakuwa wakavu kabisa wakidanganya ,kinachochekesha zaidi ni kwamba kuna wakati unaona kabisa wanajidanganyaI can see it, waongo sana hawa watu na wakiwa wanaongea UONGO unawaona walivo wakavu usoni, hata aibu hawaonagi. Stupid, kwenye Ukristo regardless what, uongo ni mali ya shetani na shetani ndio nwanzilishi wa uongo and hence, mwongo ni mfuasi wa shetani