Hivi habari ni yako mwenyewe kinyume chake ni sahihi IDF wameua makumi na kujeruhi waliofuata misaadaHamas yaua raia 5 wa Gaza waliovamia ghala la misaada huko Gaza
Mapema leo, mamia ya wakaazi wa Gaza walivamia ghala kubwa katikati mwa Gaza, linalotumiwa na Hamas kuweka akiba ya chakula kingi, yakiwemo magunia ya unga.
Ghala hilo lilikuwa likihifadhi vifaa ambavyo havijagawiwa raia kwa miezi kadhaa.
Kufuatia hali hiyo, Hamas waliwafyatulia risasi raia hao na kuwaua watano papo hapo.
Msemaji wa Kiarabu wa IDF Lt. Kanali Avichay Adraee alitoa picha za tukio hilo na kulaani vikali Hamas:
"Kwa miezi kadhaa, Hamas ilijaribu kueneza uongo wa njaa, lakini ikafichuliwa kama kuficha tani za unga."
Kwani Hezbollah bado wapo?🇱🇧🏴☠️🇺🇸 | Hezbollah: If America were not there, Israel would not have dared to invade
🔸 The Lebanese Islamic Resistance considered America the main cause of aggression in the region, but emphasized that the nations of the region will not bow down.
🟡 @NEWWORLDORDYR
Houth: if Iran is not there, Houth would not have dared to attack Israel!!!!🇱🇧🏴☠️🇺🇸 | Hezbollah: If America were not there, Israel would not have dared to invade
🔸 The Lebanese Islamic Resistance considered America the main cause of aggression in the region, but emphasized that the nations of the region will not bow down.
🟡 @NEWWORLDORDYR
Na wameshinda uchaguzi vitongoji vyote kusini mwa LebanonKwani Hezbollah bado wapo?
Ndiyo maana nasema kila siku ninyi mmeliharibu Jukwaa hili kwa uongo wenu na upotoshaji mkubwa hiyo picha uliyoiweka hapo huyo si mtoto wa Netanyahu huyo ni Nick Vujick ( Ambaye Alizaliwa hana miguu na mikono ) raia wa Australia hapa alikutana na Netanyahu kwa ujinga wako wewe unaeneza uongo kuwa ni mtoto wa Netanyahu!! Acheni ujingaMtoto wa Netanyau anakula shisha US
Mtoto wa myahudi anafunzwa adabu aliyokosa kwa baba yake
Acheni ujinga so-called “ Israel Media “ inaonyesha wazi hakuna ukweli wowote maana umeshindwa hata ku-Mention jina la medio maana ni uongo mtupu.🛬🚫
Israeli media: About 200,000 flight tickets will be canceled in the coming hours after Ryan Air canceled all its flights to Israel.
Media Israel: Sekitar 200.000 tiket penerbangan akan dibatalkan dalam beberapa jam mendatang setelah Ryan Air membatalkan semua penerbangannya ke Israel.
It doesn’t matter!!!!! Washinde/wasishinde lakini sisi tunajua sasa hivi hawana uwezo wa kuishambulia Israel na sasa hivi wanachechemea. Kama wanataka waone nguvu ya Majeshi ya Israel Waambie washambulie kombola moja tu kaskazini mwa Israel ndipo majibu watayapata.Na wameshinda uchaguzi vitongoji vyote kusini mwa Lebanon
Kwanini mnataka wapokonywe silaha kama hawana nguvu? Si muende mkachukue? Au muwapokonye wenyewe? Hezbo bado anaandaa viwanda vyake aweze kufyatua mwenyewe silaha ka Al Houth saivi hutamsikia mpaka viwanda vya ardhini likamilike ku smuggle silaha saivi imekua ngumu baada ya Syria kuwa wanafiki, IDF analijua hilo ndio maana anazidisha uchokozi ili hizbollah warudi vitani kwakuwa kaishika Syria, hezb hawezi kuingia saivi bila kuwa na uwezo wa kufyatua missiles walau 500 kwa siku huku kaloose supply chain. Hivyo isitegemee hizbo kupigana saivi lakini nakuhakikishia lazima vita itapiganwa tena yaani hilo haliepukikiIt doesn’t matter!!!!! Washinde/wasishinde lakini sisi tunajua sasa hivi hawana uwezo wa kuishambulia Israel na sasa hivi wanachechemea. Kama wanataka waone nguvu ya Majeshi ya Israel Waambie washambulie kombola moja tu kaskazini mwa Israel ndipo majibu watayapata.
Mkuu wa Majeshi wa Israel aliwaambia Hezbollah kipindi anaapishwa kuwa “ Mtoto anaweza kuchezea matiti ya Mama yake lakini hawezi kuchezea Makende ya Baba yake” Kwa hiyo kama kushinda wao washinde tu huko kwa mama yao lakini hawawezi kuchezea korodani za Baba ya Israel!!
Sina haja ukitaka taarifa zimejaa Google hata britsh nae kasitisha mimi natoa hints tu... Ila ndio ukweli mashirika watiifu wameufyata kwenda Lod,Acheni ujinga so-called “ Israel Media “ inaonyesha wazi hakuna ukweli wowote maana umeshindwa hata ku-Mention jina la medio maana ni uongo mtupu.
Usitake kuficha Sana’a airport is totally closed due to Israel Air Force strike!!!!
Acha kuzungukazunguka Hezbollah sasa hivi wanachechemea hawana uwezo wa kupigana na IDF baada ya kipigo cha mwezi Oct 2024!!!!!Kwanini mnataka wapokonywe silaha kama hawana nguvu? Si muende mkachukue? Au muwapokonye wenyewe? Hezbo bado anaandaa viwanda vyake aweze kufyatua mwenyewe silaha ka Al Houth saivi hutamsikia mpaka viwanda vya ardhini likamilike ku smuggle silaha saivi imekua ngumu baada ya Syria kuwa wanafiki, IDF analijua hilo ndio maana anazidisha uchokozi ili hizbollah warudi vitani kwakuwa kaishika Syria, hezb hawezi kuingia saivi bila kuwa na uwezo wa kufyatua missiles walau 500 kwa siku huku kaloose supply chain. Hivyo isitegemee hizbo kupigana saivi lakini nakuhakikishia lazima vita itapiganwa tena yaani hilo haliepukiki