Magaidi wa Hamas yaua raia 5 wa Gaza waliovamia ghala la misaada huko Gaza

Acheni ujinga so-called “ Israel Media “ inaonyesha wazi hakuna ukweli wowote maana umeshindwa hata ku-Mention jina la medio maana ni uongo mtupu.

Usitake kuficha Sana’a airport is totally closed due to Israel Air Force strike!!!!
wewe ni fala tu, wewe ndio unawaokota wajinga wajinga humu nilikwambia mimi kuhusu ile ardhi Al Aqsa hakuna kinachonipita kwangu dini yangu ndio kipaumbele kabla haijaja kitu kingine, natamani nije kuswali Eid El adhah hapo ila naheshimu amri ya muyemen siwezi kutia pua hapo. Mpinge na muizrael mwenyewe kuhusu ticket

Acha kuzungukazunguka Hezbollah sasa hivi wanachechemea hawana uwezo wa kupigana na IDF baada ya kipigo cha mwezi Oct 2024!!!!!
Siwezi kukusikiliza kwa kwa vitu nilivyojionea mwenyewe Hezbollah siku ya mwisho ya ceasefire alifanya oparation 38 iweje useme hana. Nguvu na taqqiya zenu za ukafiri kwamba Gaza kuna chakula?
 
Sina haja ukitaka taarifa zimejaa Google hata britsh nae kasitisha mimi natoa hints tu... Ila ndio ukweli mashirika watiifu wameufyata kwenda Lod,
Kwenye Mambo ya uandishi wa habari kuna vitu 3

1. CREDIBBLE SOURCE
2. RELIABLE SOURCE
3. AUTHOURITATIVE.
Najua ungeyajua hayo hata usingeleta habari za So-Called “Israel Media” usingeleta habari kama hiyo.

Google ndiyo imekuwa nini kila mtu Una mwambie akasome kama ukijua iko huko si ungeleta hiyo source au link wote tukaiona!!!

Mmekuwa waongo na wapotoshaji wakubwa na mmeliondolea sifa jukwaa hili kwa uongo na upotoshaji wenu huu!!!
 
Mimi naokoa muda natafuta taarifa kwajili yangu hivyo nina source zangu ambazo naamini wanatoa taarifa sahihi sina haja ya kutafuta linki unless mtu akihitaji linki na mtu kwenda Google kuna ubaya gani? Si moja ya taarifa kama jamii forum tu? Wewe mbona unaleta habari zako humu tunàkuzoom maana zote wewe unaleta za kutoka kwa mzayuni sisi wengine hatumuamini Mazayuni hivyo kila mtu anapambana na hali yake lakini kuna habari ambazo ni general hata wao wanajiweka public ndio hizo sasaa
 
Siwezi kukusikiliza kwa kwa vitu nilivyojionea mwenyewe Hezbollah siku ya mwisho ya ceasefire alifanya oparation 38 iweje useme hana. Nguvu na taqqiya zenu za ukafiri kwamba Gaza kuna chakula?
Kwanini mnataka wapokonywe silaha kama hawana nguvu? Si muende mkachukue? Au muwapokonye wenyewe? Hezbo bado anaandaa viwanda vyake aweze kufyatua mwenyewe silaha ka Al Houth saivi hutamsikia mpaka viwanda vya ardhini likamilike ku smuggle silaha saivi imekua ngumu baada ya Syria kuwa wanafiki, IDF analijua hilo ndio maana anazidisha uchokozi ili hizbollah warudi vitani kwakuwa kaishika Syria, hezb hawezi kuingia saivi bila kuwa na uwezo wa kufyatua missiles walau 500 kwa siku huku kaloose supply chain. Hivyo isitegemee hizbo kupigana saivi lakini nakuhakikishia lazima vita itapiganwa tena yaani hilo haliepukiki
Napenda tu kukukumbusha maneno na msimamo wa Hassan Nasrallah na Hezbollah kwa ujumla toka Oct 08,2023 alisema hawawezi kuacha kuishambulia Israel mpaka Israel isimamishe mapigano huko Gaza,Nasrallah hakupenda kabisa kusikia Neno “Ceasefire “ kwa njia yoyote ile.

Baada ya majeshi ya Israel kuamua kujibu mashambulizi ya uchokozi kutoka kwa Magaidi hao huko Lebanon taaratibu magaidi hao walianza kuteteleka baada ya “Operation Beeper 📟 “ ambayo iliwatengua viuno vya magaidi wa Hezbollah wengi walipoteza mikono,Miguu,Macho na wengine walipoteza maisha kabisa.

Operation Beeper 📟 Israel ilipata ushindi wa kishindo zaidi ya nusu ya Makamanda wa Hezbollah walijeruhika na hawawezi tena kuongoza vita na ndipo Israel ilipata nafasi ya kuangamiza Chain of Command nzima ya Hezbollah ikiwemo Hassan Nasrallah mwenyewe kwa ujumla tu Hezbollah ilipigishwa magoti na majeshi ya Israel baada tu ya Operator Bepeer kuanzishwa na hawakuwa na la kufanya ikabidi waingie kwenye Mkataba wa kusitisha mapigano mkataba ambao uliokoa maelfu ya Magaidi wao waliuliwa na majeshi ya Israel huko kusini mwa Lebanon.

Pamoja na maneno makali ya kiongozi wao Hassan Nasrallah kutokusitisha mapigano Hezbollah baada ya kifo chake waliamua kula matapishi yao wenyewe kwa kusalimu Amri kwa majeshi ya Israel na kusaini Ceasefire bila kupenda na kinyume na kiongozi wao Hassan Nasrallah alivyokuwa akijitapa kuwa “we will never end war unless total annihilation of isrsel.”

View: https://x.com/zei_squirrel/status/1893687945757946218?s=61

View: https://x.com/world_affairs11/status/1810708709242552632?s=61

View: https://x.com/world_affairs11/status/1838575830819115146?s=61
 
Attachments

  • IMG_3050.jpeg
    IMG_3050.jpeg
    150.1 KB · Views: 14

Wewe ndio na kushangaa sasa kwanini IDF walikubali ceasefire fire wakati nasrallah kisha kufa? Na hizbollah haina viongozi kwanini hawakujipigia tu lakini wameingia ceasefire? Kichaa tu ndio utamwambia huo ujinga. Kikubwa kilichomsukuma hizbollah ni serikali ya Lebanon baada ya kushinikizwa na idf kwa kushambuliwa targets ambazo si za Hezbollah.

Tabia ya muizrael kwenye vita anashambuli raia au majengo ya kiraia ili kutisha mpinzani wake usimamishe vita, kama alivyofanya kwa beiruti kushambulia majengo ya raia na serikali lakini akakutana hizbollah nae mwehu anatwanga majengo ya raia kaskazini hapo ndio akawa mpole na kushinikiza walebanon waoga serikali wamgeuke hizbollah. Na ndio mnachofanya pia kwa hamasi kuharibu mali za umma na kuua watu hovyo ili Hamas aserende Hio mbinu wote UK,US na Mazayuni ndio huwa wanaitumia kwenye vita vyao mfano Japan(Hiroshima) na Vietnam US alifanya hivyo na kwa houthi alifanya pia aliisambaza gereza zima la watu weusi huko Yemen. Nakwambia hivi Hezbollah na idf zinapigwa tena hilo lazima litokee mark this., wameshagoma kuharibu silaha zao hivyo mwenye nguvu atazifuata huko chini ya milima.. Ziko IMAD zaidi ya 50 zote ni complex underground ambazo unazijua hazizidi 2% utashi daje huyo na wanajeshi laki moja. Siku ya ceasefire oparation (38), huyo unaye ni kama kivuli chako kuanzia mwaka 2000 juzi katimiza miaka 25 kukuondoa Lebanon, umebaki mipakani unavizia vizia kuua wanyonge na drones
 
Lebanon hakuna targets za serikali zilizoshambuliwa moja kwa moja huko Lebanon waliokuwa wanashambuliwa ni Hezbollah na vituo vyao.

Mkataba uliokuwepo kabla ya Oct 08,2023 ulikuwa Magaidi wa Hezbollah wakae ng’ambo ya mto Litan baada ya vita kuanza magaidi hao walisogea/ kuvuka mto Litan na walianza kushambulia maeneo ya kaskazini mwa Israel

Israel baada ya kuwafurusha magaidi hao huko kaskazini na kuwafukuza mpaka ng’ambo ya Litan river ndipo Ceasefire ilikubaliwa na Israel maana hilo ndilo lilikuwa takwa lake!!

Hayo ni Maneno ya Mkosaji na uongo ambaye ninyi mnaupaka rangi na kuuita Taqiyyah kitu ambacho hakitawasaidi Hezbollah ambao mpaka sasa wanachechemea baada ya Operation Bepeer!!

View: https://x.com/vividprowess/status/1861387941890732055?s=61

View: https://x.com/israelwarroom/status/1861474629086302434?s=12
 
Ona sasa Hezbollah kaondoka baada ya ceasefire na huko kukaa litani hezbo hawataki wanataka muondoke kwenye ardhi ya walebanon alhamdulillah sasahivi wanaungwa mkono na wananchi wote kusini hivyo siku kilianza kuunguruma serikali haita sikilizwa, wanapambania Air defence tu ndio maana wanadelay tactic saivi, lakini hivi vita itapigwa tu kwakuwa mmeng'anng'ania maeneo ya watu hizbollah hata waachia hayo maeneo kama alivyowarudisha Mwakaa 2000 mlikuwa tayari mmeshabweteka na kama kawaida yenu kukalia maeneo ya watu, Syria watakiona cha mtema kuni kwa kukubali huu upuuzi Amabao hamtaupata kwa hizbollah
 
Napenda tu kukukumbusha maneno na msimamo wa Hassan Nasrallah na Hezbollah kwa ujumla toka Oct 08,2023 alisema hawawezi kuacha kuishambulia Israel mpaka Israel isimamishe mapigano huko Gaza,Nasrallah hakupenda kabisa kusikia Neno “Ceasefire “ kwa njia yoyote ile.

Baada ya majeshi ya Israel kuamua kujibu mashambulizi ya uchokozi kutoka kwa Magaidi hao huko Lebanon taaratibu magaidi hao walianza kuteteleka baada ya “Operation Beeper 📟 “ ambayo iliwatengua viuno vya magaidi wa Hezbollah wengi walipoteza mikono,Miguu,Macho na wengine walipoteza maisha kabisa.

Operation Beeper 📟 Israel ilipata ushindi wa kishindo zaidi ya nusu ya Makamanda wa Hezbollah walijeruhika na hawawezi tena kuongoza vita na ndipo Israel ilipata nafasi ya kuangamiza Chain of Command nzima ya Hezbollah ikiwemo Hassan Nasrallah mwenyewe kwa ujumla tu Hezbollah ilipigishwa magoti na majeshi ya Israel baada tu ya Operator Bepeer kuanzishwa na hawakuwa na la kufanya ikabidi waingie kwenye Mkataba wa kusitisha mapigano mkataba ambao uliokoa maelfu ya Magaidi wao waliuliwa na majeshi ya Israel huko kusini mwa Lebanon.

Pamoja na maneno makali ya kiongozi wao Hassan Nasrallah kutokusitisha mapigano Hezbollah baada ya kifo chake waliamua kula matapishi yao wenyewe kwa kusalimu Amri kwa majeshi ya Israel na kusaini Ceasefire bila kupenda na kinyume na kiongozi wao Hassan Nasrallah alivyokuwa akijitapa kuwa “we will never end war unless total annihilation of isrsel.”

View: https://x.com/zei_squirrel/status/1893687945757946218?s=61

View: https://x.com/world_affairs11/status/1810708709242552632?s=61

View: https://x.com/world_affairs11/status/1838575830819115146?s=61

Uchambuzi murua hongera brother 🙏🙏
 
Ona sasa Hezbollah kaondoka baada ya ceasefire na huko kukaa litani hezbo hawataki wanataka muondoke kwenye ardhi ya walebanon alhamdulillah sasahivi wanaungwa mkono na wananchi wote kusini hivyo siku kilianza kuunguruma serikali haita sikilizwa, wanapambania Air defence tu ndio maana wanadelay tactic saivi, lakini hivi vita itapigwa tu kwakuwa mmeng'anng'ania maeneo ya watu hizbollah hata waachia hayo maeneo kama alivyowarudisha Mwakaa 2000 mlikuwa tayari mmeshabweteka na kama kawaida yenu kukalia maeneo ya watu, Syria watakiona cha mtema kuni kwa kukubali huu upuuzi Amabao hamtaupata kwa hizbollah
Kwa taarifa yako tu Majeshi ya Israel bado yako huko Lebanon hata sasa!!
 
Huyo mpumbavu hakuna anachojua achana nae yeye kusema uongo na kuwatetea magaidi wenzie ndio anapata thawabu kwa mujibu wa Imani yao utapoteza muda wako bravo
 
Hio sio taarifa ya kunipa najua sana lakini fuatilia historia kabla ya mwaka 2000 walikua maeneo yapi na leo hii wako maeneo yapi? Ninajua kuhusu resistance na taarifa zao kuliko wewe wewe kaa na madesa ya IDF.
 
Kusema ukweli ni upumbavu? Leo gaidi mliemuekea dau la kuuawa au kukamatwa ndio mshirika wenu mkuu (raisi wa Syria sasa) Hamas,hizbo na Yemen wanaitwa magaidi kwakuwa hawajafika bei. Mmeshindwa kuwanunua ndio huwa mko hivyo nyie makafiri siku wakijaa utasikia hawa ndio wenzetu na vikwzo mnafuta. Dunia ya uislamu wa kweli haiko ovyo mtawapata wajinga wa dini

N.B hakuna unachojua kuhusu Resistance kunishinda mimi na hutakaa unishinde kwenye dini yangu kila siku najifunza kuhusu dini yangu atanishinda mwislamu msomi katika dini ila sio makafiri na Mazayuni
 
Wewe ndiyo mjinga na mpumbavu Majeshi ya Israel hata sasa hivi yako ndani ya Lebanon unapinga nini au uongo uko wapi?

Wewe ndiyo unafanya Taqiyyah uongo kudanganya watu kuwa Israel haina majeshi huko Lebanon wakati yako huko toka vita visimame. Ni ujinga kudanganya na kusema uongo kwa sababu ya Mnyazimungu wenu na kuupaka rangi uongo na kuuita Taqiyyah
 
Kama unajua Majeshi ya Israel yako Lebanon jiulize kwa nini Hezbollah wametulia tu ilhali azima yao ni kupambana na wayahudi?

Toka Oct 08,2023 Majeshi ya Israel hayakuwepo Lebanon na Hezbollah walikuwa wana ya shambulia kila siku sasa wanaume wako humo ndani Lebanon kwa nini wasiwashambulie? Acheni visingizio hata Oct 08,2023 serikali ya Lebanon iliwakanya magaidi wa Hezbollah waache kuishambulia Israel hawakusikia leo wamekula nini wanashindwa kumshambulia adui aliye ndani yao?
 
Wewe ndiyo mjinga na mpumbavu Majeshi ya Israel hata sasa hivi yako ndani ya Lebanon unapinga nini au uongo uko wapi?

Wewe ndiyo unafanya Taqiyyah uongo kudanganya watu kuwa Israel haina majeshi huko Lebanon wakati yako huko toka vita visimame. Ni ujinga kudanganya na kusema uongo kwa sababu ya Mnyazimungu wenu na kuupaka rangi uongo na kuuita Taqiyyah
Brother soma vizuri nilikuwa nasema achana na gaidi gTurn. Nakuelewa na nakukubali sana mkuu P1
 
Kusema ukweli ni upumbavu? Leo gaidi mliemuekea dau la kuuawa au kukamatwa ndio mshirika wenu mkuu (raisi wa Syria sasa) Hamas,hizbo na Yemen wanaitwa magaidi kwakuwa hawajafika bei. Mmeshindwa kuwanunua ndio huwa mko hivyo nyie makafiri siku wakijaa utasikia hawa ndio wenzetu na vikwzo mnafuta. Dunia ya uislamu wa kweli haiko ovyo mtawapata wajinga wa dini

N.B hakuna unachojua kuhusu Resistance kunishinda mimi na hutakaa unishinde kwenye dini yangu kila siku najifunza kuhusu dini yangu atanishinda mwislamu msomi katika dini ila sio makafiri na Mazayuni
Pumbavu wewe!! toka lini ukawa na dini wewe mtumwa usiye na akili
 
Back
Top Bottom