Napenda tu kukukumbusha maneno na msimamo wa Hassan Nasrallah na Hezbollah kwa ujumla toka Oct 08,2023 alisema hawawezi kuacha kuishambulia Israel mpaka Israel isimamishe mapigano huko Gaza,Nasrallah hakupenda kabisa kusikia Neno “Ceasefire “ kwa njia yoyote ile.
Baada ya majeshi ya Israel kuamua kujibu mashambulizi ya uchokozi kutoka kwa Magaidi hao huko Lebanon taaratibu magaidi hao walianza kuteteleka baada ya “Operation Beeper 📟 “ ambayo iliwatengua viuno vya magaidi wa Hezbollah wengi walipoteza mikono,Miguu,Macho na wengine walipoteza maisha kabisa.
Operation Beeper 📟 Israel ilipata ushindi wa kishindo zaidi ya nusu ya Makamanda wa Hezbollah walijeruhika na hawawezi tena kuongoza vita na ndipo Israel ilipata nafasi ya kuangamiza Chain of Command nzima ya Hezbollah ikiwemo Hassan Nasrallah mwenyewe kwa ujumla tu Hezbollah ilipigishwa magoti na majeshi ya Israel baada tu ya Operator Bepeer kuanzishwa na hawakuwa na la kufanya ikabidi waingie kwenye Mkataba wa kusitisha mapigano mkataba ambao uliokoa maelfu ya Magaidi wao waliuliwa na majeshi ya Israel huko kusini mwa Lebanon.
Pamoja na maneno makali ya kiongozi wao Hassan Nasrallah kutokusitisha mapigano Hezbollah baada ya kifo chake waliamua kula matapishi yao wenyewe kwa kusalimu Amri kwa majeshi ya Israel na kusaini Ceasefire bila kupenda na kinyume na kiongozi wao Hassan Nasrallah alivyokuwa akijitapa kuwa “we will never end war unless total annihilation of isrsel.”
View: https://x.com/zei_squirrel/status/1893687945757946218?s=61
View: https://x.com/world_affairs11/status/1810708709242552632?s=61
View: https://x.com/world_affairs11/status/1838575830819115146?s=61