Magaidi wa Hezbollah sasa hivi wanapigika sana huko Lebanon

Mbona milima ndio imepigwa au macho yangu yanashida seem!!!!
 
Mbona milima ndio imepigwa au macho yangu yanashida seem!!!!
Israel anafanya vile anataka kuwagombanisha wa Lebanon sababu kuna wengine wanataka serekali ndio ichukue action soo Hezbullah. Sa hio serekali ilijidai itailinda Lebanon kwa kusaidiwa na USA mbona haijibu mapigo. Au France na USA walijidai watailinda Lebanon naona wote hamna wanacho kilinda afu wamekalia Hezbullah salimisha silaha ili Israel afanye anavyo taka kama sasa. Mwachieni Hezbullah awatie adabu mmeshindwa kuilinda Lebanon
 
Waarabu kudhani kwamba Israel haikupaswa iwe hapo, ni kosa kubwa na litaendelea kuwagharimu

Watakapotambua kosa hilo, wataishi kwa amani sana
 
Naomba kuuliza hivi hata Israel ana raha kama nchi nyingine? maana hata wao wanaishi kama hao waarab wanaishi kwa hofu kubwa muda wote
 
Unajua mkataba alisaini huyo huyo Hezbollah kuwa asionekane kwenye hayo maeneo yanayopigwa makombora.. au unajitoa tu ufahamu... Wenzio Hezbollah washachokwa huko kwao na hizo info wanatoa wao wenyewe kwa wenyewe... Hezbollah huko Lebanon ni kinyaa tupu hamna anayewataka nyumba zilizobomolewa alidai atawalipa raia na hamna alichoweza...

Serikali imesema wasalimishe silaha pole pole wanajua namna ya kuwalipa fidia kivyao ila waiepushe Lebanon na majanga yasiyo na ulazima idiology za kijinga za Mtume zimepitwa na wakati.. watu wanaishi kibinadamu na sio kidini chuki. Israel hajagombana nanyi kwa lolote ila amewaambia akiona dalili mbaya lazima ajilinde mmepoteza uaminifu Muslim brotherhood... Ilifika Lebanon iwe na Raisi Mkristo maana Waislam wenywe kwa wenyewe hawaaminiani..

Ondokeni Ritan River wenye sifa wataingizwa kwenye jeshi la Taifa.. Hezbollah walichokuwa wanakifanya Lebanon ni kuuza madawa ya kulevya tu so Silaha zilikuwa kwa ajili ya kulinda hizo biashara haramu kwa kisingizio Israel.

Kila kitu kina fika wakati kinachosha enough is enough Hezbollah kama mnampenda Allah jiueni muende kwake atawapokeeni.
 
Punguza chuki
 
We uliona mkataba je unamruhusu Israel kushambulia Lebanon au we kwa kuwa kenge unaona Israel huwa wao kawaida wafanye kitu against walicho kubaliana.

We kama nimvuta bangi ni wewe tu Taliban mlisema wauza unga, Al Houthi ni vile vile kila anaye pigana na USA au Israel nimuza unga 😆 😂 Wakati hakuna watumiaji unga kama hao Israel na USA.
 
Waarabu kudhani kwamba Israel haikupaswa iwe hapo, ni kosa kubwa na litaendelea kuwagharimu

Watakapotambua kosa hilo, wataishi kwa amani sana
Wao wanasema kama kina nani? Waache masimulizi ya kijinga ile nchi ni ya wayahudi no more discussion full stop 🤫🤫
 
Hili ni Fundisho kuwa ukifa unasahulika chap, watu wanaanza maisha Mapya, Nasrallah Kama anaona watu wake walivokuwa mdebwedo atakuwa analia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…