Magaidi wa Hezbollah waendelea kupata kipondo huko Lebanon!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Magaidi wa Hezbollah baada ya wao jana kuishambulia Israel leo hii majeshi ya israel yamewalenga makamanda wa Hezbollah waliokuwa wakisafiri kutumia gari. Ikimbukwe kuwa magaidi wa Hezbollah walilemazwa na Operation Beeper 📟 ambayo ilisababisha wao kupi Gish wa magoti kwa kuwepo Ceasefire ambayo kiongozi wao mkuu Hassan Nasrallah alikuwa amekataa kabisa lakini baada ya yeye kufa tu Hezbollah waliyarudia matapishi yao na kuomba ceasefire ya siku 60. Sasa hivi wameanza tena chokochoko ngoja wakipate!!
 
Attachments

  • IMG_2021.jpeg
    IMG_2021.jpeg
    290.4 KB · Views: 29
  • IMG_2020.jpeg
    IMG_2020.jpeg
    258 KB · Views: 37
Magaidi wa Hezbollah baada ya wao jana kuishambulia Israel leo hii majeshi ya israel yamewalenga makamanda wa Hezbollah waliokuwa wakisafiri kutumia gari. Ikimbukwe kuwa magaidi wa Hezbollah walilemazwa na Operation Beeper 📟 ambayo ilisababisha wao kupi Gish wa magoti kwa kuwepo Ceasefire ambayo kiongozi wao mkuu Hassan Nasrallah alikuwa amekataa kabisa lakini baada ya yeye kufa tu Hezbollah waliyarudia matapishi yao na kuomba ceasefire ya siku 60. Sasa hivi wameanza tena chokochoko ngoja wakipate!!
kumbe bado wapo vita iendelee
 
Si wangepanda ngamia au punda TU
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom