Magaidi wa Hezbollah wanateseka sana huko Lebanon-Kusini tuwaombee tu!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Mapema wiki hii (Jumatano), magaidi wa Hezbollah waliokuwa na silaha waliwakaribia wanajeshi wa IDF wa Kitengo cha 91 na wakaangamizwa. Zaidi ya hayo, wanajeshi walipata silaha nyingi, ikiwa ni pamoja na bunduki, RPG, makasha ya risasi, na silaha za ziada.

Eneo lote la kusini mwa Lebanon liko kwenye udhibiti kamili wa IDF Magaidi wa Hezbollah wana Sakwa kila Kona na kuangamizwa bila huruma yoyote na majeshi ya Israel!!
 

Attachments

  • IMG_5230.jpeg
    256.5 KB · Views: 30
  • IMG_5229.jpeg
    163.1 KB · Views: 29
  • IMG_5228.jpeg
    302.7 KB · Views: 28
  • IMG_5227.jpeg
    137.3 KB · Views: 33
  • IMG_5225.jpeg
    274.5 KB · Views: 28
  • IMG_5224.jpeg
    247.3 KB · Views: 27
  • IMG_5223.jpeg
    145.1 KB · Views: 27
Mbona hatuwaoni uliosema wameangamizwa!!!!

zaidi nguo nguo za kufanyia Propaganda za kitoto.!!!

Mimi naweka picha za Vijana wa IDF waliouwawa na Hezbollah..picha izooo hakuna Propaganda 👇👇
 

Attachments

  • 20260331_204338.jpg
    34.2 KB · Views: 30
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…