Magaidi wa Hezboullah waendelea kupoteza Askari wao huko Lebanon kusini

Magaidi wa Hezboullah waendelea kupoteza Askari wao huko Lebanon kusini

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
875
Reaction score
633
Baada ya kipondo kutoka majeshi ya Israel Magaidi wengi waliangamizwa na wengine kukimbia kusikojulikana juhudi za kuwatafuta bado zinaendelea.
 
Attachments

  • IMG_0224.jpeg
    IMG_0224.jpeg
    272.6 KB · Views: 3
  • IMG_0223.jpeg
    IMG_0223.jpeg
    258.7 KB · Views: 3
Eti lazima walazimishwe kwenda kupokea 😅😁😄 jf bwana full burudani
 
Baada ya kipondo kutoka majeshi ya Israel Magaidi wengi waliangamizwa na wengine kukimbia kusikojulikana juhudi za kuwatafuta bado zinaendelea.
Hata kama umeolewa kwenye ukoo wa Netanyahu,haiwezi kukupora uwezo wako mdogo kutambua kua magaidi ni majeshi ya israel na kwamba umeshakua brain washed kuwaza kinyume chake.
 
Mbona hakuna bikira mweusi hapo.....kwa hiyo magaidi uchwara ya jamii forum na yenyewe yakifa yanawatetea hamasi na Hezbollah humu jukwaani yataenda kula hao wadada?
 
Back
Top Bottom