Baada ya kipondo kutoka majeshi ya Israel Magaidi wengi waliangamizwa na wengine kukimbia kusikojulikana juhudi za kuwatafuta bado zinaendelea. Hezbollah ni magaidi ni lazima walazimishwe kwenda kupokea Mabikira 72 walioahidiwa!!!
Hata kama umeolewa kwenye ukoo wa Netanyahu,haiwezi kukupora uwezo wako mdogo kutambua kua magaidi ni majeshi ya israel na kwamba umeshakua brain washed kuwaza kinyume chake.Baada ya kipondo kutoka majeshi ya Israel Magaidi wengi waliangamizwa na wengine kukimbia kusikojulikana juhudi za kuwatafuta bado zinaendelea.