Magaidi wa Hezboullah wapata kipigo cha Mbwa-koko huko Beiruti

Magaidi wa Hezboullah wapata kipigo cha Mbwa-koko huko Beiruti

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya Magaidi wa Hezboullah kuingia vitani kumsaidia Bwana wao Iran leo hii wamepata pigo kubwa baada ya majengo yao kuangamizwa huko Beiruti.
 

Attachments

  • 1773817629979.mp4
    27.3 MB
  • 1773817575700.mp4
    2.5 MB
  • 1773817538696.mp4
    1.5 MB
  • 1773817517180.mp4
    1.3 MB
Yana nguvu kuliko serikali. Iran imekuwa ikiwapa siraha na mabilion ya dollar

Haya majamaa ukiingia kwenye mahandaki yao unaanza kukutana na makontena ya dollar za kimarekani.
Kwa hyo yanaweza hata kuiangusha hiyo serikali ya lebanon kwa kuiteka sivyo? Na yenyewe yakachukua uongozi
 
Baada ya Magaidi wa Hezboullah kuingia vitani kumsaidia Bwana wao Iran leo hii wamepata pigo kubwa baada ya majengo yao kuangamizwa huko Beiruti.

Kumsaidia bwana wao kivipi!!!

Hezbollah wanapigania Ardhi yao iliotekwa na Magaidi wa Israel✅️

Kama sio Ardhi yao kuvamiwa kusingekuwa na Hezbollah kabisa.

Wacha zipigwe mpaka mvamizi atafute njia ya kwao Ulaya hakuna Aman uku umevamia Ardhi yao

tutalala macho mm na mvamizi wangu..shubamit.
 
Hivi hayo majamaa serikali ya Lebanon hawezi kuyafukuza? Maana yanasababisha maumivu kwa wananchi

Sasa kama wewe ungewafukuza Hezbollah uwepo wao wanapigania Ardhi yenu ilivamiwa na wavamizi Magaid ya Israel !!!

au waliovamia Ardhi yenu. Waisrael..

Israel ilivamia Ardhi ya Lebanon wakati ata Hezbollah hawapo,

uwepo wao Hezbollah umesaidia kurejesha kiasi cha Ardhi mwaka 2006!!!

kutoka kwa Wavamizi Magaid ya Israel.

Ni akili ya kilokole kutoka TZ wala migebuka ndio ingewaza kuwafukuza Hezbollah

lkn sio Cristian wa Lebanon Hezbollah kwao ndio kilakitu..
 

Attachments

  • Screenshot_20260309-171246_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260309-171246_Instagram Lite.jpg
    95.5 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260309-171214_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260309-171214_Instagram Lite.jpg
    99.1 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    102.2 KB · Views: 13
  • 6275941-d292e055ffd4262c109bae6666be5be6.jpg
    6275941-d292e055ffd4262c109bae6666be5be6.jpg
    21 KB · Views: 16
  • Screenshot_20260226-105324 (1).jpg
    Screenshot_20260226-105324 (1).jpg
    110.4 KB · Views: 12
  • Gp7D1RNXQAAziig.jpeg
    Gp7D1RNXQAAziig.jpeg
    30.7 KB · Views: 17
  • 20250614_000352.jpg
    20250614_000352.jpg
    79.7 KB · Views: 16
  • 4c964753d730b32m8m7_440C247.jpg
    4c964753d730b32m8m7_440C247.jpg
    32.1 KB · Views: 18
  • 20250615_031912.jpg
    20250615_031912.jpg
    107.1 KB · Views: 16
  • GtymsK8XUAAEXZD.jpg
    GtymsK8XUAAEXZD.jpg
    63.9 KB · Views: 17
  • 4c9660f161808b2mbck_800C450.jpg
    4c9660f161808b2mbck_800C450.jpg
    109.1 KB · Views: 17
Mwakaa huu Walokole hakuna kurusha taulo😬😬😬😬😬 mtaimba haleluaaaaa ya kichinaaa🤠
 
Netanyahu kakufaaa lkn Mbumbumbu bado kusoma mchezo😜😜😜😜
 
Kumsaidia bwana wao kivipi!!!

Hezbollah wanapigania Ardhi yao iliotekwa na Magaidi wa Israel✅️

Kama sio Ardhi yao kuvamiwa kusingekuwa na Hezbollah kabisa.

Wacha zipigwe mpaka mvamizi atafute njia ya kwao Ulaya hakuna Aman uku umevamia Ardhi yao

tutalala macho mm na mvamizi wangu..shubamit.
Mbele ya IDF Mtanyooka tu!!
 
Baada ya Magaidi wa Hezboullah kuingia vitani kumsaidia Bwana wao Iran leo hii wamepata pigo kubwa baada ya majengo yao kuangamizwa huko Beiruti.
Hezbolaa hawakuwepo mwanzoni. Israel iliipiga sana Lebanon na kuchukuwa Ardhi ya lebanon.,
HAWA JAMAA NI RAIA WENYE UCHUNGU NA NCHI YAO WAKAUNDA KIKUNDI KUJIITA HEZBULLAH NA KUPIGANA NA iSRAEL.
WALIWEZA KUREJESHA SEHEMU KUBWA YA ARDHI ILOCHUKULIWA NA ISRAEL.
Sasa watu walo saidia namna hivyo huwezi kuwafukuza au kuwadharau.

Wewe utawaita hawo magaidi. lakini kule lebanon wana heshima kubwa.
 
Hivi Israel huwa haishiwi hayo mabomu? Hata kama wananunua inamaana wanauchumi imara sana kiasi cha kutoishiwa fedha, maana sidhani kama hizo silaha za vita wanapewa bure.
Wanapewa bure na USA.
Waarabu wanailipa US na pesa hizo zinaenda Israel.
Leo hii kama mataifa ye west wataiacha mkono haina lakufanya
 
Back
Top Bottom