Magaidi wa Hezboullah wapata kipigo cha Mbwa-koko huko Beiruti

Israel akiamua kuwa busy anakuwa busy kweli.
 
Ardhi ipi hiyo ya hao magaidi Hezbollah?
 
Ardhi ipi hiyo ya hao magaidi Hezbollah
 
Hivi Israel huwa haishiwi hayo mabomu? Hata kama wananunua inamaana wanauchumi imara sana kiasi cha kutoishiwa fedha, maana sidhani kama hizo silaha za vita wanapewa bure.
Magaidi lazima wapigwe kwa gharama yoyote!!!
 
Hii show ya Iran Mmarekani hakutegemea ingechukua muda zaidi ya walivyotarajia
 
Hivi Israel huwa haishiwi hayo mabomu? Hata kama wananunua inamaana wanauchumi imara sana kiasi cha kutoishiwa fedha, maana sidhani kama hizo silaha za vita wanapewa bure.
Majamaa yanaweza kupigana hata vita maeneo matano tofauti,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…