Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Magaidi wa Houth kutoka Yemen leo Wamejaribu kuishambulia Jerusalem kwa kurusha makombola ya Ballistic 2. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel iliweza kwa ustami mkubwa kuyapopoa na katika zoezi hilo hakuna madhara yoyote yaliyotokea. Wakati huo huo huko Yemen Wahouth wameendeleza uongo wao wa kuwadanganya watu wao kuwa Makombola yao yalipiga Tel Aviv wakati ni uongo wa wazi!!