Magaidi wa Houth kutoka Yemen leo Wamejaribu kuishambulia Jerusalem kwa kurusha makombola ya Ballistic 2. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel iliweza kwa ustami mkubwa kuyapopoa na katika zoezi hilo hakuna madhara yoyote yaliyotokea. Wakati huo huo huko Yemen Wahouth wameendeleza uongo wao wa kuwadanganya watu wao kuwa Makombola yao yalipiga Tel Aviv wakati ni uongo wa wazi!!
Tupe ushahid
Asante mtumishi 🙏🙏 Hakika Jerusalem ni mji wa bwana kila atakaye jaribu kuuharibu ataharibiwa yeyeJerusalem mji wa Bwana Mungu wa Majeshi - Mungu wa Ibrahim, na Isaka na Yakobo. Kuna makafir wamethubutu kuurushia kokoto mji wa BWANA? Ole ni wao! YEHOVA hajaribiwi!
Ila Afrika kuna vituko kweli kweliAsante mtumishi 🙏🙏 Hakika Jerusalem ni mji wa bwana kila atakaye jaribu kuuharibu ataharibiwa yeye
Afrika vituko haviishiJerusalem mji wa Bwana Mungu wa Majeshi - Mungu wa Ibrahim, na Isaka na Yakobo. Kuna makafir wamethubutu kuurushia kokoto mji wa BWANA? Ole ni wao! YEHOVA hajaribiwi!
Uongo tupe ushaidiHawajajaribu wamepiga target 3 Israel imeshindwa kuzuia
Sasa Hawa magaidi wakihouthi huwa wanapata faida Gani mbona makombora yao huwa yanaishia kupanguliwa kama wanajichosha vileMagaidi wa Houth kutoka Yemen leo Wamejaribu kuishambulia Jerusalem kwa kurusha makombola ya Ballistic 2. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel iliweza kwa ustami mkubwa kuyapopoa na katika zoezi hilo hakuna madhara yoyote yaliyotokea. Wakati huo huo huko Yemen Wahouth wameendeleza uongo wao wa kuwadanganya watu wao kuwa Makombola yao yalipiga Tel Aviv wakati ni uongo wa wazi!!
View attachment 3303200
Angalia picha mwenyewe uone lakini msemaji wa Houth yeye kawadanganya kuwa makombola yake yamepiga Tel Aviv Mjini !!! Wakati ni uongo mtupu!!Kwaiyo ndio kusema ilo Ballistic kutoka YEMEN liliweza kufika adi Jerusalem Sasa iyo mifumo ya Anga kwasasa inazuiya kitu kikiwa ndani kabisa ya lengo lake ule uwezo wa kuzuiya yakiwa Mipakani umeyayuka!!!
Wao hawana hasara mwenye hasara ni Yule Bwana wao Iran maana kila kitu wanatoa kwake isipokuwa ile mirungi yao wanayotafuna!!!Sasa Hawa magaidi wakihouthi huwa wanapata faida Gani mbona makombora yao huwa yanaishia kupanguliwa kama wanajichosha vile
Mungu atabakia kuwa Mungu na si bwana, haya maneno mengine mnayatoa wapi enyi ndugu zangu?????Jerusalem mji wa Bwana Mungu wa Majeshi - Mungu wa Ibrahim, na Isaka na Yakobo. Kuna makafir wamethubutu kuurushia kokoto mji wa BWANA? Ole ni wao! YEHOVA hajaribiwi!
sasa km jesus mwenywe hawataki kumsikia unategemea kwa wakristo itakuaje?Wakristo watemewa mate na wayahudi