Magaidi wa kidini wakataza wanawake wasitibiwe na wanaume, ila pia wanawake wasielimishwe kuwa madaktari

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mkihabarishwa kuhusu huu uzombi mnang'aka udini, yaani Taliban wametoa katazo kwa wanawake wasitibiwe na wanaume, hapo hapo wamezuia wanawake wasipate elimu, sasa unashindwa kuelewa nani atatibu hao wanawake maana hakutakua na madaktari wa kike.

Yaani imani za kidini zinafanya mwanamke anaonwa kama takataka fulani hivi isiyokua na thamani yoyote, halafu wapo wengi humu hutetea sana huu uzombi FaizaFoxy
================

In a nondescript Kabul locality, Dr Sona (last name withheld) is fighting depression. She is among millions of Afghan women who can no longer work in Taliban-ruled Afghanistan. In December last year, Dr Sona had secured a job at a Kabul clinic.
"You cannot join because of the new rules," Dr Sona was told recently when she called the clinic for final confirmation of her employment status. This was right before the Taliban government's new ruling that directed hospitals to ensure that male doctors are no longer allowed to treat female patients.
 
Mkuu with due respect tafadhali ondoa neno DINI kwenye uzi. Impliedly, UGAIDI dini imo ndani yake haihitaji ufafanuzi wa ziada.
 
wavaa kobazi watakuletea vifungu vya ahaya humu mwisho wa siku wakwambie dini ya haki
 
Taliban hao ina maana ndio waislamu kushinda hata wale wa chimbuko la uislamu kama Saudi Arabia nk.

Hao Taliban bado wanaishi kwenye karne nyingi zilizopita na sera zao hizo zina akisi mila zao za kale na wala sio uislamu kama wanavyosingizia kwani kwenye hizo karne hakukuwa na shule wala ustaarabu tunaauona leo.
 
Hapa lazima kisingizo kitakuwepo ndugu waasilamu.

Mila zilikuja na dini mbona hapa watu wenye imani yenu wanavaa kanzu,ijabu na mambo kibao ya huko.

Afghan nao wamepokea kama ulivopokea wewe.

Sema tu ukweli kuambiwa mnakuwa wabishi kama pilipili za kichina.
Naomba vifungu na ahaya maana ndio majibu mnayo kimbilia
 
Mkuu with due respect tafadhali ondoa neno DINI kwenye uzi. Impliedly, UGAIDI dini imo ndani yake haihitaji ufafanuzi wa ziada.

Hawa magaidi wenyewe wanajiita askari wa dini, japo sijataja dini ipi.....tuendelee kuficha vichwa kwenye ardhi.
 
Lazima iogopwe ni silaha ya kisasa kuzidi zote ulizowahi au kutowahi ona zikitumika tangu kuzaliwa Kwa Dunia
Ikiogopa Elimu, jaribu Ujinga.
Ndio wanacho jaribu Taleban.

Wataishia kuchinja watu tu kwa radhi za mungu wao Allah.

Na kuimba Allah Akbarriiiii
 
Mkihabarishwa kuhusu huu uzombi mnang'aka udini, yaani Taliban wametoa katazo kwa wanawake wasitibiwe na wanaume, hapo hapo wamezuia wanawake wasipate elimu, sasa unashindwa kuelewa nani atatibu hao wanawake maana hakutakua na madaktari wa kike.

Yaani imani za kidini zinafanya mwanamke anaonwa kama takataka fulani hivi isiyokua na thamani yoyote, halafu wapo wengi humu hutetea sana huu uzombi FaizaFoxy
================

In a nondescript Kabul locality, Dr Sona (last name withheld) is fighting depression. She is among millions of Afghan women who can no longer work in Taliban-ruled Afghanistan. In December last year, Dr Sona had secured a job at a Kabul clinic.
"You cannot join because of the new rules," Dr Sona was told recently when she called the clinic for final confirmation of her employment status. This was right before the Taliban government's new ruling that directed hospitals to ensure that male doctors are no longer allowed to treat female patients.
Hahaa, dawa za kisunna zipo
 
Hao magaidi naona ni kama majambazi tuu wamepewa kuendesha Nchi kwa sheria zao za Kijambazi...
 
Wanaongoza nchi kwa sheria za kidini, tatizo sio wao ila lipo hapo kwa dini
 
Waongo hao sheria gani inasema Wanawake wasipate Elimu? wao wana sheria za kuwakandamiza Wanawake wakiwa na hofu ya kushindwa kuwatala wskiwa na Elimu ..
 
Back
Top Bottom