Ugaidi ni nini?Unachoongea ni kweli mkuu lakin hakiendan kabisa na definition ya ugaidi
Mkuu fungua dictionary yako usome...sio kila kitu ni ugaidiUgaidi ni nini?
the systematic use of terror especially as a means of coercionMkuu fungua dictionary yako usome...sio kila kitu ni ugaidi
Use of terror tena wakat hatujajua terrorist ni nan? May be use of violence or threats.....sasa cjui hapa armed invasion ya iraq inaingiaje! Hata hitler aliivamia USSR sasa cjui km hio nayo inafall kwe terrorismthe systematic use of terror especially as a means of coercion
Terror : violence that is committed by aperson, group, or government inorder to frighten people and achievea political goal.Use of terror tena wakat hatujajua terrorist ni nan? May be use of violence or threats.....sasa cjui hapa armed invasion ya iraq inaingiaje! Hata hitler aliivamia USSR sasa cjui km hio nayo inafall kwe terrorism
Mi sijakataa swala la US kuinvade nchi nyngn na kuleta chaos but that z just another form of agression na si terrorismTerror : violence that is committed by aperson, group, or government inorder to frighten people and achievea political goal.
Hapo ndipo daima serikali ya marekani inapoingia, wanatumia uwezo wao wa silaha kutisha na kupora rasilimali za nchi nyingine, kama walivyojichotea mafuta Irak. Kwa hiyo terrorist ni nani? Ni serikali ya marekani, miaka nenda miaka rudi. Hivi vikundi vidogo ni kama wanajaribu kulipa kisasi kwa udhalimu waliofanyiwa au unaofanywa na Marekani
Unataka kukataa kwamba wanaofanya ugaidi wanasimama nyuma ya dini na kutumia kivuli cha dini zao?Viongozi wa dini wanahusikaje kwenye ugaidi!
ππππππSijui kama suala hili ni la viongozi wa dini, gaidi wa kwanza ni serikali ya Marekani, miaka na miaka.