Magaidi wanataka nini ili waache hayo mauaji?

Magaidi wanataka nini ili waache hayo mauaji?

the systematic use of terror especially as a means of coercion
Use of terror tena wakat hatujajua terrorist ni nan? May be use of violence or threats.....sasa cjui hapa armed invasion ya iraq inaingiaje! Hata hitler aliivamia USSR sasa cjui km hio nayo inafall kwe terrorism
 
Terror : violence that is committed by aperson, group, or government inorder to frighten people and achievea political goal.

Hapo ndipo daima serikali ya marekani inapoingia, wanatumia uwezo wao wa silaha kutisha na kupora rasilimali za nchi nyingine, kama walivyojichotea mafuta Irak. Kwa hiyo terrorist ni nani? Ni serikali ya marekani, miaka nenda miaka rudi. Hivi vikundi vidogo ni kama wanajaribu kulipa kisasi kwa udhalimu waliofanyiwa au unaofanywa na Marekani
 
Mi sijakataa swala la US kuinvade nchi nyngn na kuleta chaos but that z just another form of agression na si terrorism
 
Viongozi wa dini wanahusikaje kwenye ugaidi!
Unataka kukataa kwamba wanaofanya ugaidi wanasimama nyuma ya dini na kutumia kivuli cha dini zao?
Isitoshe wakiwalenga makafiri (walio kinyume na imani zao) huku wakisahau huyo wanaemfuata wamemuua wenyewe hao hao (wenyewe kwa wenyewe) na kuiambia dunia Kuwa kuwaza na kafiri.... Kwahiyo hawa jamaa hawawezi fika mwisho kwakua wanaamini kwakufanya hivyo watafika peponi, sasa kama wanaamini hivyo unafikiri lini wataacha kabla hawajafa? Hiyo ni imani ya watu na wala haina mwisho.
Kama utakumbuka utekaji wa waschana 200 kule kaskazini mwa Nigeria, ule ni mpango maalum wa kuwateka waschana na kwenda kuwapa mamba ili watoto watakaozaliwa wawakuze ktk ugaidi,.... Na mpaka sasa wale waschana wote wananyonyesha.
 
Back
Top Bottom