Magaidi wasihusishwe na Uislamu

I will stand with Israel nenda na wewe Kule Katetee Stara sio unashabikia huku unatoa mashuzi ya magimbi kimbiji huko
 
inakuwaje unasahau al shabab?
 
Hao mazayuni tarehe 7-10-2023 waliamka na kuanza kuua WATOTO?
Israel wao waliamka wakaanza kuua watoto?Hebu nikumbushe nani alianza kumpiga mwenzake? Mumetoa taarifa ya kumkemea?
Ina maana PALESTINA kuna watoto tu? Kwamba kila bomu linaua watoto tu?
Wanatumia neno watoto wanauawa kutafuta huruma ya ulimwengu upande wa pili wanawaunga mkono Hamas walioanzisha vita na Israel hivi ile October 7 hawakuuawa watoto wakiyahudi mbona sio wakiikemea Hamas?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona bado "crying baby-wafilisti" wanalilia huruma, naona ni wakati wa USA,CANADA ,UK na ufaransa kutopokea wakimbizi na wahamiaji wa kiislamu, hawa jamaa wanakimbizi wazuiwe waende Iran na Urusi na Korea Kaskazini.

View: https://x.com/IDF/status/1722459187798503828?s=20
 
Fanatics and extremists breed the violence. They are what they fear
 
Nguvu ya western media ndo adui mkubwa wa Uislamu. Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya (mf. muite mbwa kichaa), ukifanya hivyo hakuna atakae kulaumu kwa ukatili utakomfanyia.

Uislamu umepewa jina baya la ugaidi na yule anayemiliki nguvu ya habari na pesa! na hapa mwenye busara lazima utambue kinachopakazwa na hizi media ni JINA LA UGAIDI na sio wala sio necessarily uwepo wa hayo MATENDO yenyewe ya kigaidi, ushahidi ni kile kinachoendelea Israel na Palestina, mwenye kuitwa gaidi ndo anayefanyiwa matendo ya kigaidi!

Mandela aliitwa gaidi na wazungu wakati wanapambania uhuru kwa SA, alipofanikiwa kuwachomoa wasauzi katika madhila na akaweka wazi kuwa hana nia ya kulipa kisasi wazungu woote sasa wakawa wanampromote kama ni Icon of world heros (only baada ya kuona amelinda maslahi yao kwamba hataki visasi).

Jamani eeh! za kuambiwa changanya na zakoooo!
 
Wenye akili walipeleleza na kugundua ni nani hasa anayefadhiri hayo makundi ya kigaidi.
Rasilimali mafuta inatumika vibaya, ndio maana technolojia ya kutengeneza magari imehemia kwenye nishati ya umeme.
 
Umesahau The Abu Sayyaf Group (ASG) kule Philippines
 
LAKINI HATA HAWA WAISLAM TULIONAO NI WA KUWALAUMU KWA KUENDEKEZA UGAIDI. WEWE ONA KILICHOTOKEA NCHI ZA MAGHARIBI; WALIKARIBISHWA VIZURI WAKATUNZWA LAKINI KUMBE WANA AGENDA YAO. YA SIRI KUSIMIKA SHARIA KATIKA NCHI HIZO. WAMEJIPENYEZA KWENYE UNIVERSITIES NA KWA KUSAIDIWA NA USHOSHALIST WAMERUNUNI VIJANA TO REVOLT AGAINST THE GOVERNMENT.
 
Waislamu gani hao wanaejiweka makundi maalumu?

Unajua nini kuhusu Jihad ndugu? kwa ninavyoona hapa akipigana mzungu huitwa ni vita ila akipigana muislamu huitwa jihad=ugaidi!

Hao unaowaita magaidi wa kiislamu wametengenezwa na nani na mbona huu ugaidi uwe against westerners tu na washirika wake?. Tambua kitu kimoja, hata Mandela naye aliitwa gaidi na wazungu wakati wa struggle for independence! leo hii haohao wanamuita shujaa, do u know why? ... hakulipa kisasi kwa wazungu then wazungu ndo wakaamua kumfanya kiigizo kwa wengine. They will oppress and control everything in your country, when u fight back they will call you a terrorist, when u win the struggle and decide to let the bygones be bygones, they will call u a hero.

Ugaidi wa Alqaida leo umeisha? si ni hao hao USA wamerudisha mamlaka ya Afghanistan kwa Alqaida saivi after 20+ years of occupancy on their country? ... wanasema 'USA does not negotiate with terrorists', mbona wamekabidhi nchi kwa hao waliokuwa wanawaita magaidi?

Jielimishe ndugu, acha kupumbazwa na wazungu!!!
 

Magaidi wanauwa watu bila huruma kwahiyo uislam ni ugaidi
 
Tanzania tulivyolipuliwa na WAISLAMU mwaka 1998 , sisi ni washirika wa nanni?
Huna haya wala hujui ndugu zetu wamefia pale ubalozi wa Marekani? hujui wengine wamekuw vilema wa maisha?
Hao Westen na marekani lini waliamka wakaenda kumshambulia mtu?
Acha upuuzi unaona kabisa wameua westgate Nairobi huku wakiimba alah akbar lakini huna hata chembe ya huruma unataka kutetea ufirauni?
 
Wenye akili walipeleleza na kugundua ni nani hasa anayefadhiri hayo makundi ya kigaidi.
Rasilimali mafuta inatumika vibaya, ndio maana technolojia ya kutengeneza magari imehemia kwenye nishati ya umeme.
Ma-ustaadh wapo Saudia na Oma, dubai na Uturuki, wana hela za Damu , ndio wafadhili:
HAMASI ni kundi la kiislamu la kigaidi lililoundwa na Iran na sasa lina ufadhili wa Iran, Urusi na Lebanon.
 
ndio kulikuwa{sina uhakika kama bado lipo] na kundi la kigaidi hapo UGANDA likijulikana kama "LORD RESISTANCE ARMY"
 
Umejipotosha, Ashraf Ghani alikuwa na uhusiano na Harakati ya Kitaifa ya Kiislamu ya Afghanistan, inayojulikana pia kama Hezb-e Wahdat. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba hali ya kisiasa nchini Afghanistan ni ngumu, na ushirikiano na ushirikiano unaweza kubadilika. Kabla ya kuwa rais, Ghani alihudumu katika nyadhifa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na msomi, mwanaanthropolojia, na afisa katika Maarufu Duniani.
Hajawahi kuwa al Queda na si kweli kwamba al Queda ndio inaongoza afghan,Rudi twishen.
 
ndio kulikuwa{sina uhakika kama bado lipo] na kundi la kigaidi hapo UGANDA likijulikana kama "LORD RESISTANCE ARMY"
La Joseph Kony?
Lile lipo Kaskazinimwa Uganda na Afika kati, linalindwa na magaidi wa kislamu, linasaidiwa na Urusi:
 
Wewe wacha kuzungumza in simplistic terms. Mafundisho ya Kiislam usiyaone kwa nje tu, ni hatari. Na wanaanza na watoto Toka wakiwa wadogo. Halafu wakiwa in minority kazi yao kulialia victims; angalia kule Europe na Marekani kwa sasa kinachoendelea. Wewe unafikiri ni kwa bahati mbaya!!?? Muslim Brotherhood wakisaidiwa na siasa za kishoshalisti za vyama vya Democrat (USA) na Labour UK wame brainwash vijana. Ukiwasikiliza maulama wao wanajitapa kuwa they are about to conquer Europe & USA

View: https://twitter.com/LizaRosen0000/status/1718605978357088270?t=Jc3NsgkrDCly8sM4jS9ngA&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…