Magaidi waua raia 40 nchini Mali

Magaidi waua raia 40 nchini Mali

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Dunia hii amani tuitafute wapi haswa. Afrika bado tunauana kwa misingi ya dini za kuletwa.

An Islamic State-linked group killed around 40 civilians this week in a northern region of Mali that has been plagued by clashes between rival jihadist groups, local sources told AFP on Friday.

"There are at least 40 civilian deaths in three different sites" in the Tessit area near the borders of Burkina Faso and Niger, a civilian official in the area told AFP.

The official, whose name was withheld for security reasons, said that the death toll was still provisional because information was patchy and coming in slowly from the remote and dangerous area, where witnesses had scattered.

"These civilians have been accused by one (jihadist) group of complicity with the other group," the official said.

Two Tessit residents based in the regional capital Gao and national capital Bamako, whose names were also withheld, confirmed to AFP the scale of the violence after speaking with witnesses who had fled.

Moussa Ag Acharatoumane, a spokesman for a group of armed northern militias, reported a similar death toll.

The latest bloodshed took place in the "three borders" area, a hotspot of violence in the jihadist insurgency that first emerged in the Sahel country in 2013, before spreading to Burkina Faso and Niger.

The Islamic State in the Greater Sahara (EIGS) and the Sahel's largest jihadist alliance, the al-Qaeda-aligned GSIM group, are particularly active in the area.

As well as attacking local and foreign troops, they have been fighting each other for territory since 2020.

Mali's ruling junta, which seized power in a coup in 2020 after rising public outrage about elected leaders' inability to stem the jihadist bloodshed, have yet to speak about the Tessit violence.

On Friday, Mali's army-led government told France to withdraw its forces from the country "without delay".

French President Emmanuel Macron on Thursday announced that he was withdrawing his nation's troops which had been fighting jihadists in the Sahel country since 2014.

Dini hizi zina mambo ya ajabu sana

Zinafukarisha watu, zinawa pumbaza kwa kuwaahidi maisha mazuri ambayo hakuna aliewahi kuyaona, hata hao wanaofundisha wenyewe hawataki kuwahi kwenda kuyaishi hayo maisha mazuri.

Dini faida yake ni ujinga, ukiangalia maeneo mengi ambayo watu wanafanya mambo ya kipumbavu wengi ni wajinga.

Angalia kule uarabuni hawataki watu wajiendeleze kielimu kwani watapata ufahamu na kuhoji mambo ya dini na kuja kuachana ma dini. Mbaya zaidi wameweka vitisho, ukiacha dini unauwawa, ukimkosoa huyo mungu wao unauwawa.

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine.
 
Waondoe majeshi yao waache ujinga hawatakiwi
hao magaidi wao ndio waasis wakuu bawasimamizi wakuu wahao waitwao magaidi
 
Unasingizia Dini.!!!!..ilihali sote tunajua namna Watu wachache wanaotengeneza tatizo kwa maslahi yao,
Ugaidi wa namna hii....ni jambo la kutengenezwa makusudi...wala hakuna mafungamano na Dini hasahasa Dini ya Uislam.
 
Dini hizi zina mambo ya ajabu sana

Zinafukarisha watu, zinawa pumbaza kwa kuwaahidi maisha mazuri ambayo hakuna aliewahi kuyaona, hata hao wanaofundisha wenyewe hawataki kuwahi kwenda kuyaishi hayo maisha mazuri.

Dini faida yake ni ujinga, ukiangalia maeneo mengi ambayo watu wanafanya mambo ya kipumbavu wengi ni wajinga.

Angalia kule uarabuni hawataki watu wajiendeleze kielimu kwani watapata ufahamu na kuhoji mambo ya dini na kuja kuachana ma dini. Mbaya zaidi wameweka vitisho, ukiacha dini unauwawa, ukimkosoa huyo mungu wao unauwawa.

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine.
Hapo tatzo wal sio dini bali kuna kitu kinahalalishwa tu ili watu waseme, mmeona.... mm ni mkristo na ninawaheshimu waislamu. Ni ndugu zetu. Ila huvalishwa vazi lisilo lao
 
Mabeberu kazini..........hawa jamaa kufukuza wafaransa inabidi wajipange vizuri
 
Ila waafrica sijui tuna tatizo gani. Unafukuza wafaransa eti unakaribisha warusi. Mali watajuta sana ni suala la muda tu.
 
Hapo tatzo wal sio dini bali kuna kitu kinahalalishwa tu ili watu waseme, mmeona.... mm ni mkristo na ninawaheshimu waislamu. Ni ndugu zetu. Ila huvalishwa vazi lisilo lao
Wewe unaambiwa kuna makundi ya kiislam yanapigana humo, wewe unayaacha hayo unahamia kwenye tetesi. Kwa nini ni hao tu kila mahali ndio wawe na vikundi vya kigaidi ? Saa nyingine tu common sense inapaswa kukupa majibu.
 
......Ni kweli kabisa, ukisikia ugaidi majina utakayosikia ni yale yale halafu mtu anakuja anakuambia eti wanatumiwa na mataifa fulani yasiyo ya kiislamu.!!

Cha kushangaza ugaidi unapofanyika ni wale wale wa imani moja ndio wahusika wakuu lakini hata hapa kwetu tumewahi kushuhudia watu wa imani hiyo wakihusishwa na vitendo vya kigaidi na baadhi yao kuuliwa hasa huko Kibiti.

Kama ni Marekani ndio mfadhili wa huu ugaidi hana sababu ya kuwatumia waislamu ambao kwanza ndio wapinzani wakuu wa hiyo nchi na laiti kama Marekani angejaribu kuwatumia waislam kufanya vitendo vya kigaidi basi hata hao waislamu wasingekubali katu kutumiwa na Marekani ambao kwao wanaamini ni makafiri.
 
Unasingizia Dini.!!!!..ilihali sote tunajua namna Watu wachache wanaotengeneza tatizo kwa maslahi yao,
Ugaidi wa namna hii....ni jambo la kutengenezwa makusudi...wala hakuna mafungamano na Dini hasahasa Dini ya Uislam.
Mjinga tu ndio anaweza sikiliza hii stori yako..no wonder mnafungishwa mabomu kwasababu ya ujinga kama huu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe unaambiwa kuna makundi ya kiislam yanapigana humo, wewe unayaacha hayo unahamia kwenye tetesi. Kwa nini ni hao tu kila mahali ndio wawe na vikundi vya kigaidi ? Saa nyingine tu common sense inapaswa kukupa majibu.
Kama uliku2a hujui maana ya false flag ktk ulimwengu wa vita??? kuhalalisha jambo 3ndelea tu kuwa na mawazo mgando... sio kila kitu mpaka uambiwe, vingine tafiti mwenyew na utumie akili... muhalifu anaweza kuwa yeyote, sio lazima awe mwislamu au wakristu magaidi pia wapo... au labda nikikuambia huna akili utakubali kwakuwa nimekuambia huna akili, au utaumiza ubongo kufikiria kama ni kweli huna akili ama lah... ingawa najua kwa akili zako umejbu huna haja ya kufkria maana ni kweli huna...

Au labda chukulia mfano leo hii niingie msituni kupambana na serikali kwa jina la kristo nako utasema wakristo ni magaidi???? Tujifunze kuheshimu binadamu wenzetu. Binadamu ni mavumbi na mavumbini tutarudi....

Waislamu na wakristu wote ni ndugu.... sote twaishi mtaani bila shida yoyote.
 
Mwanzoni nilifikiri najizana na mtu mwenye akili, kumbe ni certified fool. Hicho kichwa zaidi ya kubebea meno ya kutafuta ugali hakikusadii kwa lolote.
 
Back
Top Bottom