Magaidi ya ADF yakiongozwa na Mtanzania yaingia Uganda

Ut Utakufa na uislam utauacha wewe kafiri maskini
 
Hahahaaa... noma sana [emoji41]
 
Acha ujinga wew usichafue Dini nzima kwa makosa ya waislamu wachache.... fwala sana ww we jamaa...
 
...hiyo ADF na uislam wapi na wapi??
...Kati ya makundi yenye sifa mbaya zaidi yanayoendesha shughuli zao huko ni lile la kutoka nchini Uganda la Allied Democratic Forces (ADF).

Kundi hilo la Kiislamu liliundwa miaka ya 1990 na mara nyingi lilihusika na mizozo ya ndani na taifa la Uganda. Lakini baada ya kuibuka nchini DR Congo, shughuli zake zemechukua mkondo wa kundi la jihadi huku mashambulizi yake mengi yakidaiwa kutekekelezwa kwa jina la kundi la Islamic State (IS).
 
M23 ni waasi, hawajawahi ua mtu raia wa kawaida wao wanapambana na serikali. Hata wakiua kama collateral damage hawaui kwa kutamka Yesu Akbar na wala sio kundi la kidini lile
ANT BARAKA.

Wakifanya waislamu ni ugaidi wakifanya wakristo ni uasi.
 
picha y
Picha yake tafadhari
 
Hivi lengo la ADF kufanya Uasi kwenye Nchi ya Uganda nini?

Au ni Rebels without a cause?
 
Ut
Utakufa na uislam utauacha wewe kafiri maskini

Alikufa muarabu aliyeanzisha huo uzombi, sasa unatishia watu vifo humu jf wewe gaidi la waislamu.
 
Ukiwapiga hadharani unapelekwa ICC, ni kuwakamata kimya na kuwafanyizia huko....
Wewe si Mungiki mlikuwa mnachinja wajaluo mbona hujapelekwa au kushtakiwa??Waislam wapo na wataendelea kuwepo hasira zikizidi kura sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…