Kuna Masai mmoja alitaka kuniuzia mafuta ya kuondoa chunusi usoni,lakini baada ya kunusa yale mafuta nikagundua ni ya korosho.
Sasa mimi ni mtu wa MTWARA kwa kawaida yale mafuta huwa yanachubua au kuunguza kabisa nikagairi kununua,sasa sijui huwa wanachanganya na nini mpaka leo sijapata jibu!