CHADEMAASILI
Senior Member
- Jan 19, 2018
- 122
- 92
Tanznaia na nchi nyngine zinazolima zao la Korosho sasa kuneemeka zaidi na zao hilo kufuatia Maganda ya zao hilo ambayo awali yalikuwa yakitupwa kugundulika kuwa na Kemikali na Vitamini ambazo zinaweza kutumika kutengenezea bidhaa mbalimbali vikiwemo vipodozi.