Maganda ya mizambarau na ya mbuyu

Maganda ya mizambarau na ya mbuyu

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Wakuu wa Nchi Wapi nitapata hayo maganda ,Kuna uzi hapa jamii doctor unasema ukichemsha ni Dawa nzuri sana ya Kushusha kisukari type 2 Au kuponyesha kabisa.

Niko Arusha mjini.

Msaada please.
 
Iko kwenye jamii doctor na aliyeileta Id yake ni Fiat
 
Back
Top Bottom