Maganzo Vibe mdogo wangu ukitaka kufanikiwa kwenye kazi yako ya content creator, uwe una acknowledge chanzo cha contents zako

Maganzo Vibe mdogo wangu ukitaka kufanikiwa kwenye kazi yako ya content creator, uwe una acknowledge chanzo cha contents zako

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Nimeona umeandika Uzi wangu kuhusu " Bibi Fisi wa Igogo Mwanza " bila ku acknowledge kwamba Uzi umeutoa kwa mtu anae tumia jina la LIKUD at Jamii Forums. Au at least ungesema umeutoa Jamii Forums.. Hii kuchukua Uzi na kuipublish kwenye content zako inakushushia credibility. Inakufanya uonekane mbabaishaji.. Please jitelebishe. Acknowledge hiyo story kisha uje hapa nishushe nondo zaidi kwa sababu nilichimba zaidi na nilipata mafaili ya ndanj zaidi kuhusu uchawi wa Bibi Fisi.

Najua umo humu ndani
 
Back
Top Bottom