Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
- Thread starter
-
- #101
Nikiwa kidato cha 4 nilisoma Civics topic inaitwa NEO COLONIALISMUkienda Europe hakuna gari hata moja kati ya hizo utakayoiona barabarani hapo ndo nilijua tofauti ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea
Sio mapenzi mkuu.Naona una mapenzi na Toyota
Wabongo wameshtukia Passo ni kimeo ndiyo maana haipo Kwenye listWhere are..
Passo
Noah
Wabongo wameshtukia Passo ni kimeo ndiyo maana haipo Kwenye list