bullet
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 1,047
- 543
Ford ranger?
Hivi haya magari ya Ford ni American Cars au yanatengenezwa Japan au nchi nyingine? Maana magari ya kimarekani huwa ni mapana sana ila hizo Ranger na Everest naona zipo kama Japanese cars ambazo ndio common hapa Tanzania.